Mbowe: Haturudi nyuma

Kweli dunia imeisha mtu unatumika kwa kiroba
Vibarua vyenyewe ndio hivyo vimetoka wamepewa wenye chama wewe wamekuacha ukilalalama tu,hujui asubuhi hii chai utaipata wapi wala chakula cha mchana.ulicho ambulia ni hizo tshirts na kofia wakati wadogo zako kijijini kwenu wanateseka kwa kusomea chini ya mibuyu
 
Vizuri unavyojipa moyo
 
Hapo ndiyo uwezo wako wako wa kufikiria umekomea,hakuna mtu wa kukulaumu

ulitakaje? nionyeshe uwezo wangu wote hapa ili iweje? hata ukiamua kunilaumu ntapungua nini? sindano imekuingia utakuwa mmoja wa majirani zako wale
 
ulitakaje? nionyeshe uwezo wangu wote hapa ili iweje? hata ukiamua kunilaumu ntapungua nini? sindano imekuingia utakuwa mmoja wa majirani zako wale
Ndio maana nimesema kuwa huo ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiria, sasa hizo ngumi unazorusha hewani zitakusaidia kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…