Mbowe hafai kuwa KUB

Mpiga dili yupo MSOGA.. Hamumtaki coZ anawafanya msilale kwa mipango ya hatar formation isiyoeleweka hadi beki anafunga.. Forward anakaba balaa..viungo wanadaka hamjui mumkabe Nani mumuache Nani shenZ
 
Umevurugwa ndugu. Sababu ulizohorodhesha haziendan na shughuri za kiongozi wa kambi rasmi bungeni. Hii inadhihilisha unakurupuka tuuuu. Hakika mbowe ni mti wenyematunda, lazima upigwe mawe
 
mbowe hafai ni mfanya biashara anaangalia maslahi yake kwanza.... nina hakika mzee lowassa anajuta kumfahamu mbowe akiangalia salio lake benki ..
 
Kwani wewe ni Ukawa? Pilipili usizozila zinakuwashia nini. Naona mnamwogopa sana. Na bado.
 
Ha ha CCM mnamuogopa Mbowe kama ukoma. Mbowe anazidi kupunguza RUZUKU pale Lumumba saa hizi vijana wa Lumumba wako hoi 40% imekatwa kwenda UKAWA. Mbowe uyo uyo kaweza kuisimamisha UKAWA mpaka leo. Mbowe uyo uyo Maalim Seif hawezi kumsahau kwa kumuwezesha kupata usindi wa Kimbunga kule zanzibar especially Majimbo ya Unguja kwa kumpokea Lowasa.
Mtasanda sfari hii moto wake Bungeni hautatosha ni moto wa Gesi subiri uone.
 
Mh. MBOWE ATOSHA hatuhitaji KUB mwingine.
Ana uwezo mkubwa na utendaji uliotuka katika kusimamia wabunge wote wa Upinzani. Tunampenda tunamuhitaji atuongozi kamanda wetu Mkuu Mh. FREEMAN MBOWE
 
hata nami km mwana chadema siungi mkono mhe. Mbowe kuwa kub ningemshauri yeye abaki km mwenyekiti wa chama alaf hii nafasi awaachie wengine.na kwa kuwa wana umoja wa ukawa mhe. Mbatia,mnyika,lissu au wabunge wa cuf.

kama wewe ni mwana cdm basi huelewi maana ya siasa au hujui kupambanua masuala
 
huo muwasho sio wa kawaida, inakuhusu au inakuuma nini kama wewe sio cdm? Au na wewe ulichangishwa dada?
 
Mh. MBOWE ATOSHA hatuhitaji KUB mwingine.
Ana uwezo mkubwa na utendaji uliotuka katika kusimamia wabunge wote wa Upinzani. Tunampenda tunamuhitaji atuongozi kamanda wetu Mkuu Mh. FREEMAN MBOWE

Mkuu hilo halina ubishi kila mtu anafahamu ndiomaana Fisiemu wanapambana kucreate operation chaos ya kitotoo ambayo inadhihirisha wanamuhofia sana akisimama kama KUB.
 
Vipi uraia wa kiongozi mkuu umeshapatiwa ufumbuzi😆

U must be not ok upstairs.......he is officially registered and sworn in Kigoma urban MP. MP is for Tanzanians only...... Dude jiongezee
 
U must be not ok upstairs.......he is officially registered and sworn in Kigoma urban MP. MP is for Tanzanians only...... Dude jiongezee

Narudia kuuliza je issue ya uraia wa kiongozi mkuu imeisha?
 
mbowe hafai ni mfanya biashara anaangalia maslahi yake kwanza.... nina hakika mzee lowassa anajuta kumfahamu mbowe akiangalia salio lake benki ..

Mfanyabiashara ni mzee wa msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…