Lupyeee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 2,683
- 2,818
Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu.
Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya.
Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule amekuwa akihusishwa na biashara ya madawa.
Gwajima pia amekuwa anatamkwa kwenye jamii kuwa utajiri wake hautokani na uchungaji tu, mbali anauza madawa ya kulevya.
Idd Azzan pia kipindi cha kampeni 2015 Ukawa walikuwa wanamtaja kwenye majukwaa kuwa anauza madawa. Sasa kitendo cha hawa watu kutajwa hadharani na RC Makonda ilikuwa ni fursa kwao kujisafisha mbele ya jamii.
Badala ya kulalamika na kukimbilia mahakamani haitasaidia kitu kwa sababu jamii inaamini hawa watu wanauza madawa tangu zamani. Katika hili nampongeza sana Ridhiwani alipotajwa na kuhojiwa alifurahi sana na kusuuzika moyo kwamba jamii iliyokuwa inaamini anauza madawa sasa imejua ukweli kwamba hahusiki na biashara hiyo.
Mbowe na Gwajima badala ya kumlalamikia Makonda kuwataja, mnatakiwa mmpongeze kwamba amewapatia platform ya kujisafisha. Kwa kifupi wote mliotajwa igeni mfano wa Ridhiwani na TID, heshima yenu itaongezeka kwenye jamii.