Mbowe, Gwajima jifunzeni kutoka kwa Ridhiwani Kikwete

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,683
2,818
Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu.

Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya.
Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule amekuwa akihusishwa na biashara ya madawa.

Gwajima pia amekuwa anatamkwa kwenye jamii kuwa utajiri wake hautokani na uchungaji tu, mbali anauza madawa ya kulevya.

Idd Azzan pia kipindi cha kampeni 2015 Ukawa walikuwa wanamtaja kwenye majukwaa kuwa anauza madawa. Sasa kitendo cha hawa watu kutajwa hadharani na RC Makonda ilikuwa ni fursa kwao kujisafisha mbele ya jamii.

Badala ya kulalamika na kukimbilia mahakamani haitasaidia kitu kwa sababu jamii inaamini hawa watu wanauza madawa tangu zamani. Katika hili nampongeza sana Ridhiwani alipotajwa na kuhojiwa alifurahi sana na kusuuzika moyo kwamba jamii iliyokuwa inaamini anauza madawa sasa imejua ukweli kwamba hahusiki na biashara hiyo.

Mbowe na Gwajima badala ya kumlalamikia Makonda kuwataja, mnatakiwa mmpongeze kwamba amewapatia platform ya kujisafisha. Kwa kifupi wote mliotajwa igeni mfano wa Ridhiwani na TID, heshima yenu itaongezeka kwenye jamii.
 
Unaongea vitu tofauti we gamba. Mbowe , gwajima ,manji wamepelekwa mahakamani. Ridhiwani kikwete kapelekwa mahakamani? Nao wangeitwa wahojiwe na tume kama alivyofanyiwa Ridhiwani hapo ninhekuelewa lakini Hawa wamepelekwa moja kwa moja central police as if tayari kuna ushahidi kwamba wanafanya biashara ya drugs.
CCM mna akili fupi sana
 
Nitaeleza tofauti kati yao....

Mbowe, Gwajima na Manji walitajwa ili kuwafanyia damage... PERIOD na ndio maana walitajwa hadharani!!!

Riziwani alitajwa kwa mkakati maalumu kati yake na Bashite!!! Hawa walipanga makusudi kwamba amtaje ili hatimae apate fursa ya kusafishwa!! NItakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Bashite alimwingiza Riz kwenye list bila mwenyewe (Riz) kufahamu!!

Lakini ili kupunguza damage; ikawa asitajwe kwenye live tv coverage kama ilivyokuwa kwa akina Mbowe!!!

Baada ya muda; wakavujisha taarifa wenyewe kuonesha kwamba Riz nae ametajwa!! Wakavujisha habari kwenye gazeti la Jamhuri ambalo hata Chalinze halifiki!!!

Riz kwa kuwaona watu maboya; akajifanya kulalamika wakati alishajua since day one!!

Lengo ilikuwa kwamba, kwavile Riz amekuwa akituhumiwa kwa miaka kadhaa; hiyo ingempa fursa ya kusafishwa bila kujali kama ni kweli anahusika au hapana!!

Na leo hii, Riz kila akipata fursa lazima aongelee suala la kuhojiwa na Tume na jinsi alivyokutwa hahusiki kabisa na hayo mambo... MISSION ACCOMPLISHED!
 
Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu.

Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya.

Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule amekuwa akihusishwa na biashara ya madawa.

Gwajima pia amekuwa anatamkwa kwenye jamii kuwa utajiri wake hautokani na uchungaji tu, mbali anauza madawa ya kulevya.

Idd Azzan pia kipindi cha kampeni 2015 Ukawa walikuwa wanamtaja kwenye majukwaa kuwa anauza madawa.

Sasa kitendo cha hawa watu kutajwa hadharani na RC Makonda ilikuwa ni fursa kwao kujisafisha mbele ya jamii.

Badala ya kulalamika na kukimbilia mahakamani haitasaidia kitu kwa sababu jamii inaamini hawa watu wanauza madawa tangu zamani.
Katika hili nampongeza sana Ridhiwani alipotajwa na kuhojiwa alifurahi sana na kusuuzika moyo kwamba jamii iliyokuwa inaamini anauza madawa sasa imejua ukweli kwamba hahusiki na biashara hiyo.

Mbowe na Gwajima badala ya kumlalamikia Makonda kuwataja, mnatakiwa mmpongeze kwamba amewapatia platform ya kujisafisha.

Kwa kifupi wote mliotajwa igeni mfano wa Ridhiwani na TID, heshima yenu itaongezeka kwenye jamii.
Upuuzi huo kama ni ishu mtu akitajwa tu kwenye vijiwe ndo ukweli umekamilika basi itakuwa karibia wote tuna hatia,kwa sababu sio Mara moja mbili utasikia Fulani anahela sana naona anauza ngada,Mara Fulani alikuwa anatembea na fulani,anangoma kashauwa.alafu eti watu waseme ndio,na kutangazana hadharani,hii ishu tunachosema usimuaribie MTU reputation yake,kama mnamuhisi vamia mkague then anahusika sheria itachukua mkondo,kama hamna hicho kitu basi maisha yaendelee bila kuharibu reputation ya MTU.
 
Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu.

Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya.

Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule amekuwa akihusishwa na biashara ya madawa.

Gwajima pia amekuwa anatamkwa kwenye jamii kuwa utajiri wake hautokani na uchungaji tu, mbali anauza madawa ya kulevya.

Idd Azzan pia kipindi cha kampeni 2015 Ukawa walikuwa wanamtaja kwenye majukwaa kuwa anauza madawa.

Sasa kitendo cha hawa watu kutajwa hadharani na RC Makonda ilikuwa ni fursa kwao kujisafisha mbele ya jamii.

Badala ya kulalamika na kukimbilia mahakamani haitasaidia kitu kwa sababu jamii inaamini hawa watu wanauza madawa tangu zamani.
Katika hili nampongeza sana Ridhiwani alipotajwa na kuhojiwa alifurahi sana na kusuuzika moyo kwamba jamii iliyokuwa inaamini anauza madawa sasa imejua ukweli kwamba hahusiki na biashara hiyo.

Mbowe na Gwajima badala ya kumlalamikia Makonda kuwataja, mnatakiwa mmpongeze kwamba amewapatia platform ya kujisafisha.

Kwa kifupi wote mliotajwa igeni mfano wa Ridhiwani na TID, heshima yenu itaongezeka kwenye jamii.
Hivyo hiyo club bado iko?

Anyway kwa mambo yanavyojitokeza hivi sasa, inatia shaka Kuhusu Ridhwani. Na hiyo tume ndani ya wiki au mbili inasema Hamna kiongozi serikalini anayefanya biashara hiyo. Sasa Kama walijipanga kutulaghai watanzania sasa wataumbuka.
 
Nitaeleza tofauti kati yao....

Mbowe, Gwajima na Manji walitajwa ili kuwafanyia damage... PERIOD na ndio maana walitajwa hadharani!!!

Riziwani alitajwa kwa mkakati maalumu kati yake na Bashite!!! Hawa walipanga makusudi kwamba amtaje lakini ili kupunguza damage; ikawa asitajwe hadharani!!!

Lengo ni kwamba, kwaavile Riz amekuwa akituhumiwa kwa miaka kadhaa; hiyo ingempa fursa ya kusafishwa bila kujali kama ni kweli anahusika au hapana!!
Hata wasingetajwa na Makonda bado jamii ilikuwa inaamini wanauza madawa ya kulevya
 
Mkurugenzi anaendeleaje?

Wengi hao wamepiga madili na polisi wetu, gemu linaendelea watamalizana chini kwa chini.

Hata Gwajima nae kapigwa dili, laeni tu mnadandia na kufata mikumbo.

Mbowe huyo yumo nyuma pia ya kusingizia kila kitu vyeti, magari kesho itakuwa pichu wanazovaa.

Pia mbowe na wenzake wajuane wasijuane, wanaona RC anajuhudi tishio

Mwaka wake wa pili ndio mtakoma wapenda vya mkato.

Shangilieni tu eti hawahusiki wameonewa, ha ha haaaaaaaaa mngejua eeeee
 
Hata wasingetajwa na Makonda bado jamii ilikuwa inaamini wanauza madawa ya kulevya
Sio kweli! Kati ya Gwajima, Mbowe na Manji ni Gwajima peke yake ndie alikuwa anatajwa tajwa na jamii lakini sio Mbowe wala Manji!!

Baadhi ya watu walikuwa wanafahamu Manji suala la kutumia na sio kuuza lakini the way Bashite alivyokuwa amemtaja ilikuwa ni kuaminisha kwamba ni dealer na sio mtumiaji!!! Kuhusu Mbowe; watu wanafahamu kwamba Bills hayo mambo yalikuwa yanaendelea lakini kutokana na audience ya Bills; hakuna ambae alikuwa anamuhusisha Mbowe bali mazingira yenyewe ndiyo yalikuwa yanavutia kuwa center!!!
 
1. Ridhiwani alitajwa kibashitebashite kama Mbowe na Gwajima?
2. Ridhiwani alipekuliwa nyumbani kwake na kupelekwa kwa mkemia mkuu?
 
Ukweli ni kwamba Mbowe, Gwajima, Manji, Idd Azan, Ridhiwani etc ,kuhusu kuuza madawa ya kulevya hawajaanza kutajwa na RC Makonda tu.

Tangu miaka 20 iliyopita jamii imekuwa ikisema club billicanas kilikuwa ni kituo kikubwa cha kusambaza madawa ya kulevya.

Ridhiwani Kikwete tangu yuko shule amekuwa akihusishwa na biashara ya madawa.

Gwajima pia amekuwa anatamkwa kwenye jamii kuwa utajiri wake hautokani na uchungaji tu, mbali anauza madawa ya kulevya.

Idd Azzan pia kipindi cha kampeni 2015 Ukawa walikuwa wanamtaja kwenye majukwaa kuwa anauza madawa.

Sasa kitendo cha hawa watu kutajwa hadharani na RC Makonda ilikuwa ni fursa kwao kujisafisha mbele ya jamii.

Badala ya kulalamika na kukimbilia mahakamani haitasaidia kitu kwa sababu jamii inaamini hawa watu wanauza madawa tangu zamani.
Katika hili nampongeza sana Ridhiwani alipotajwa na kuhojiwa alifurahi sana na kusuuzika moyo kwamba jamii iliyokuwa inaamini anauza madawa sasa imejua ukweli kwamba hahusiki na biashara hiyo.

Mbowe na Gwajima badala ya kumlalamikia Makonda kuwataja, mnatakiwa mmpongeze kwamba amewapatia platform ya kujisafisha.

Kwa kifupi wote mliotajwa igeni mfano wa Ridhiwani na TID, heshima yenu itaongezeka kwenye jamii.
TID ni mpuuzi tu

hi is a snitch and a coward.

mimi nampongeza tu Ridhiwani japo sio sana maana nae hakutajwa hadharani. angetajwa hadharani tuone reaction yake..
 
Back
Top Bottom