Mbowe, Dr. Slaa SOMENI Hapa ni Muhimu Sana!

Mbowe, Dr. Slaa SOMENI Hapa ni Muhimu Sana!

Ni makala nzuri sana yenye mwongozo mzuri. Ila sisi wananchi tumekuwa tukitegemea sana viongozi wetu watusaidia hata kazi za maandalizi ya shamba. Cha msingi wanachama wajipange na kutumia nguvu yao kukiimarisha chama, then viongozi wa juu wanakuja kukisimamisha sawasawa kwenye misingi tuliyoiweka vizuri. Mfano kazi ya kufungua matawi isisubiri viongozi wakuu wa kitaifa tu, watazunguka kwa kazi hiyo tu mpaka 2020 na hawatafanikisha hiyo kazi. Cha msingi tuwatumie vizuri viongozi wetu wa wilaya na mkoa, hawa wa kitaifa wanakuja kwa maswala ya kukiimarisha chama katika wilaya kwa ujumla na kutoa ushauri kutokana na ripoti mnazozituma kwenye chama. Kama kweli tunataka kukijenga chama, ni muhimu tujitoe wote kwa moyo wa kizalendo na si kutegemea/kuwatwisha mzigo mzito wale wachache waliojitoa kisawasawa.
wazo nzuri
 
Mtizamo wako ni mzuri.Ila kwa mbinu zinazohitaji kukisaidia chama ni vema zisiwe public.
Nimejaribu kuandika kwa kirefu ili wahusika wapate uhalisia wa mambo yalivyo kwenye ulingo wa siasa. Hata hivyo, mbinu hizo sio siri maana huwa tuna-share na makamanda wote. Zile zenyewe kabisa hatuwezi kuzianika hapa kwenye kuku wengi. Ila nimekusoma, ahsante sana.
 
Hongera kijana wetu kwa ushauri mnono sana
Nina amini alishatumia njia za kawaida ikashindikina na akaona huu wa kwenye internet unasomwa na watu mbali mbali wakiwemo wanachama wa chadema kama yeye
Na tumewaona wenyewe wahusika wamesema ujumbe umefika
Yanni all the best my son na wasikusahau kukupa uongozi katika sehemu husika
Dr. Slaa nadahani kijana huyu ni safi sana kwa maandishi yake anaonekana ana uwezo mkubwa na anaipenda chadema
all the best
 
Ahsante sana. Na wapo vijana wengi tu wenye mapenzi na Chadema na wanaotaka mabadiliko, we only need to ignite them to see how the fire breaks out!
 
Umeandika vizuri sana, ingeleta tija zaidi kama ungewaandikia kiofisi nao wangeweza kulichukulia suala kwa umuhimu uliotukuka. Hata hivyo mbinu ya kutumia udhaifu wa mwenzio kuwa ndio mtaji muda mwingine huwa haufanyi kazi sana hasa pale mwenye udhaifu huo akijitambua. Cha msingi ni kuwa na sera zenye tija kwa wananchi ambazo zinaleta uahueni wa maisha kwao. Nakupongeza kwa makala nzuri.
mkuu watu wadhaifu huwa hawajitambui ingekuwa ivyo mkulu angeshatema nchi siku nyingi hapa ndio mahala staiki najua doctor na futured first lady hawakosi kuzama humu kila siku
 
Ningependa wadau wengine tujipange kuhamasishana vijana kwa wazee kujiandikisha kwenye kitabu cha kupigia kura, bro! hiyo ujumbe ya majembe wote wanamageuzi,,, nina hakika mawasiliano ngazi za juu utapata hapa hapa jf.. Tudumu Cdm.
 
Kamanda masalapa kwanza nikupongeze kwa kazi kubwa sana unayoifanya huko Simiyu.
Nadhani ujumbe wako utawafikia viongozi husika, na wataufanyia kazi mara moja. Na mimi nitajaribu kwa upande wangu kuufikisha kwa wahusika ili kuamsha wana Simiyu ambao kwa muda mrefu wamepumbazwa na mzee wa vijisenti pamoja na mwenzake bwana mapesa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, tumeandika barua mara nyingi sana, sasa sijui haziwafikii walengwa au ndio mambo mengi. Ndio maana nikaona kwa njia hii huenda ujumbe utawafikia haraka zaidi, au kama kuna mtu aliye na mawasiliano yao ya karibu basi anaweza kutusaidia kuwafikishia ujumbe huu.

Mimi nakushauri uanze kuwaunganisha vijana mpige kazi, ukisubiri viongozi waje kutoka taifani utajichelewesha, tumia silaha ya karibu kuua nyoka!
 
Ni mpango mzuri wa kuimarisha chama,ni kweli kuna haja ya walau kupiga rural movement itakayomwangusha Mtanzania aliyesomeshwa kwa kodi zetu na kurudi kutuibia na ccm yake.Chenge mwisho wake uwe 2015
 
Nimejaribu kumwambia kijana hivo MODS wamemsaidia kwa kuondoa ushauri wangu!
Romney naye alikuwa na mawazo kama yako, lakini kamba aliyodhani ni dhaifu ndiyo iliyokatisha maisha yake kisiasa! Fedha na Mamlaka mliyo nayo nyie MAGAMBA na kuwadi wenu Mzee wa Vijisenti kamwe si suluhisho la maamuzi ya wananchi! Muulize Mathias Chikawe kilichomkuta alipokuwa anagombea U-NEC huko kwa Magamba! What matters is LOGIC, and NOT MAGIC!
 
Kijana , njia ya kuingia siasa ni nyeupe, neda kwa spidi zako!!!
 
Mimi nakushauri uanze kuwaunganisha vijana mpige kazi, ukisubiri viongozi waje kutoka taifani utajichelewesha, tumia silaha ya karibu kuua nyoka!

Pia kuwasiliana na viongozi wa mkoa na wulaya wakipa mandiko haya wanaweza kutenda
 
Hongera kwa kujitambua kwanza. Ila me nakushauri upitia baadhi ya nyuzi humi jf utapata ushauri ya jinsi gani unaweza kufanya ili uweze kufanya yale uliyoyakusudia bila kutegemea uwepo wa viongozi wakuu wa cdm
 
Kwa nilivyokuelewa ni kwamba unatangaza nia..

Hili sio swala la kupeleka kwa mwenyekiti wa taifa na katibu mkuu, wewe kama mwanachama komaa na mwenyekiti wako na katibu wako hapo wilayani..

Jamii forums lete bandiko lako kwa taarifa....... tutawapa mawazo yenye mwelekeo wa kujenga juu ya msingi mliouanzisha...
 
Kamanda Masalapa

Hongera sana kwa kazi kubwa unayofanya na ushauri mzuri uliotoa.Endelea kupambana huko na nikuhakikishie ujumbe wako utafika kunakohusika.
 
Back
Top Bottom