Mbowe: CHADEMA ilianzishwa na watu waliopinga ukandamizwaji kiuchumi na kijamii

Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli
endapo chadema imekufa kilapahala zile billion 28 nje ya bajeti ya uchaguzi ziliongezwa zann ?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli
Unaelewa maana ya madhara wewe? itachukuwa muda mrefu kuponja uharibifu uliofanywa na mwendazake, unajua kuna watu zaidi ya miaa 200 gerezani kutokana na uchaguzi uliopita.

watu wamekimbia nchi kuhofia maisha yao, biashara na mali za watu kuharibiwa achilia mbali watu kupotezwa na kupata vilewa vya maisha kisa siasa wewe bado unakuwa tomaso huoni, fikiri zaidi?
 
Back
Top Bottom