Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.
mkuu nachukia sana siasa za ubaguz wa kidin,kanda,makabila.
Mkuu haya mambo hayata tusaidia kabisa kama taifa.
Angalia watu wanavyouana nchi za wenzetu kwa sababu ya ubaguz.
Hiz siasa hazitusaidii kabisa tunatafuta kuuana tu kwa mambo ya kipuuz.
Acha tucheze na siasa kama siasa na tusiichanganye na din,kabila wala kanda.
Tuangalie Tanzania kwanza!
kwanini vijana wengi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii wanaandika comments za kijinga na hata wakianzisha mada hazina mantiki yeyote kwa taifa?
Mnaumia akiwa anazindua programu za chama...!? Kuweni wapole..
hiki chama na mwenyekiti wake ni janga la kitaifaMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini hapa jijini Dar es Salaam.
Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.
Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.
Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.
Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.
Hii mikakati ya CDM inawanyima raha mamilioni ya Magamba.Endeleeni kutokwa na mapovu tu!CDM hatutamuangalia nyani usoni sisi kazi tu.
Imekuumaee. Waambie hawa viongozi wenu wasitoe siri zao wanazopanga makanisani humu ndani tutawasitiri lakini wakiweka wazi nasi tutakisanua.
Hakuna jambo lingine ambalo CCM wana weza kulifanya kwa sasa isipokuwa ni kuwabaguwa wtz kwa mjibu wa dini zao.Imekuumaee. Waambie hawa viongozi wenu wasitoe siri zao wanazopanga makanisani humu ndani tutawasitiri lakini wakiweka wazi nasi tutakisanua.
Hii mikakati ya CDM inawanyima raha mamilioni ya Magamba.Endeleeni kutokwa na mapovu tu!CDM hatutamuangalia nyani usoni sisi kazi tu.
kuwa wa kwanza kubadilika mkuu haya mambo ya kijinga tuyapinge bila kujal yanatoka chama gan.Asante mkuu jitahidi kusambaza ushauri huu kwa makamanda mimi najua wajibu wangu.
Tatizo la malezi ukilelewa na wajomba matokeo ni hayo kuropoka tu
kuwa wa kwanza kubadilika mkuu haya mambo ya kijinga tuyapinge bila kujal yanatoka chama gan.
Ukwel haitokuja kutokea nchi hii ikaongozwa kwa quran au biblia!
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukupa msaada wowote, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.
sidhani kama mamilioni ya wanachama wa CCM wanaumia kutokana na mikakati ya watu vihiyo kama akina mbowe. Mikakati yao ni kama ya mtu anayepuliza pafyum kinyesi eti anaondoa harufu mbaya