Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini.
Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.
Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.
Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.
Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.

Haya ndiyo tunayo hitaji kusikia

Chamvinga kiwango chako cha kutema pumba hapa JF kinazidi kupanda kila kukicha. Kwa jinsi navyokufahamu uwezo wako ni mkubwa sana tofauti na hizi pumba unazotema hapa na sijui ni kitu gani kimekukumba hadi umeshuka kiasi hiki!
Au na wewe umesajiliwa na buku saba fc project fame manake wao ndio wanatema pumba tu siku zote.

huna tofauti na nape na hiyo ndiyo sera ya ccm hivyo sikushangai
kosa pesa kuliko kukosa uwezo wa kufikiri
mijitu kama hii inayowaza udin, ukabila etc ni hasara kwa taifa na wazaz.
Bora hata wahamiaji haramu kuliko matanzania yenye akil kama zako.
Yan huon hata hasara kwa hili la udin unalolieleza hapa kwa taifa?
Tanzania kwa sasa inaitaji umoja wetu bila kujal din,kabila,kanda na itikad za vyama il kuwa salama kuliko wakati mwingine wowote.
Mods kwa nin mnaacha watu kama hawa kuendeleza ubaguz jukwaan?
Siku zote nilikuwa najua CCM ni chama cha wananchi kumbe kutokana na kauli za badhi ya watu ni cha kidini tena dini ya Kiislamu. Nini kifanyike? Naomba maoni yako.
Pole sana.Kwa bahati mbaya kila mtu anakujua kwa ujinga unaoandika.
Naona jinsi unavyohangaika kwenye uzi huu kwa kutumia ID zako 5 tofauti tofauti.
Jibu swali. Sina haja ya kuuliza kuhusu Chadema kwa kuwa ninafahamu ni cha kitaifa. Ndiyo maana mnafeli mitihani kwa kujibu mswaki ambayo hamjaulizwa. Nauliza kama kwa kadiri siku zinavyosonga kama CCM kimekuwa chama cha kidini na tena dini ya Kiislamu kwani kuna watu ambao ni makada wa CCM ambai ni Waislamu wanawahamasisha waislamu kuhusiana na chama chao hicho.
Kamanda pole kwa majukumu. Lete yale maombi huenda yatawaponya vijana wenu wasikichafue chama chako kwakauli zao chafu hapa jukwaani.
Kila la kheri kwakuwa kimeshaimarika kanisani sasa ni wakati wa kuwahadaa waislamu. Nyakageni kazi yako imeonekana na sasa Mbowe anaokuongezea nguvu ili chama kiinaendelea.