Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini hapa jijini Dar es Salaam.

Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.

Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.

Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini.

Picha pls
 
hii mikakati itakuwa ni kutimiza azma ya yale niliyoyaeleza kwenye mada yangu iliyofungiwa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini.

Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.

Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.

Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.

amemaliza kuomboleza msiba? au ndo yale maneno waliyokuwa wanasema watu kwenye msiba!
 
Chamvinga kiwango chako cha kutema pumba hapa JF kinazidi kupanda kila kukicha. Kwa jinsi navyokufahamu uwezo wako ni mkubwa sana tofauti na hizi pumba unazotema hapa na sijui ni kitu gani kimekukumba hadi umeshuka kiasi hiki!

Au na wewe umesajiliwa na buku saba fc project fame manake wao ndio wanatema pumba tu siku zote.

Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema ni pumba
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.
 
Chamvinga kiwango chako cha kutema pumba hapa JF kinazidi kupanda kila kukicha. Kwa jinsi navyokufahamu uwezo wako ni mkubwa sana tofauti na hizi pumba unazotema hapa na sijui ni kitu gani kimekukumba hadi umeshuka kiasi hiki!

Au na wewe umesajiliwa na buku saba fc project fame manake wao ndio wanatema pumba tu siku zote.

Mkuu muulize huyu kanyageni ambaye kampeni ni meneja wa mtumishi wa Dr.W.Slaa bwana Ben Saanane ndio atakuambia hayo niliyoandika nimeyasema mimi au kayasema yeye mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
huna tofauti na nape na hiyo ndiyo sera ya ccm hivyo sikushangai

Imekuumaee. Waambie hawa viongozi wenu wasitoe siri zao wanazopanga makanisani humu ndani tutawasitiri lakini wakiweka wazi nasi tutakisanua.
 
Siku zote nilikuwa najua CCM ni chama cha wananchi kumbe kutokana na kauli za badhi ya watu ni cha kidini tena dini ya Kiislamu. Nini kifanyike? Naomba maoni yako.

Waulize hawa vijana wa bavicha na makao makuu akina kanyageni, Remote Nicholos et al watakuambia chadema nicha kina nani?
 
Last edited by a moderator:
mijitu kama hii inayowaza udin, ukabila etc ni hasara kwa taifa na wazaz.
Bora hata wahamiaji haramu kuliko matanzania yenye akil kama zako.

Yan huon hata hasara kwa hili la udin unalolieleza hapa kwa taifa?
Tanzania kwa sasa inaitaji umoja wetu bila kujal din,kabila,kanda na itikad za vyama il kuwa salama kuliko wakati mwingine wowote.

Mods kwa nin mnaacha watu kama hawa kuendeleza ubaguz jukwaan?

Mkuu hizi busara zako mbona zinaonekana hapa tu ikiguswa chadema? Sijayasema mimi ni makamanda wenu hao.
 
Waulize hawa vijana wa bavicha na makao makuu akina kanyageni, Remote Nicholos et al watakuambia chadema nicha kina nani?

Pole sana.Kwa bahati mbaya kila mtu anakujua kwa ujinga unaoandika.

Naona jinsi unavyohangaika kwenye uzi huu kwa kutumia ID zako 5 tofauti tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote nilikuwa najua CCM ni chama cha wananchi kumbe kutokana na kauli za badhi ya watu ni cha kidini tena dini ya Kiislamu. Nini kifanyike? Naomba maoni yako.

Mkuu kinauche mimi nimezungumza kile makamanda wanachakiwakilisha hapa jukwaani. Sorry kama imekung'ata mkuu ili muwe mnawakanya makamanda wenu.
 
Waulize hawa vijana wa bavicha na makao makuu akina kanyageni, Remote Nicholos et al watakuambia chadema nicha kina nani?

Jibu swali. Sina haja ya kuuliza kuhusu Chadema kwa kuwa ninafahamu ni cha kitaifa. Ndiyo maana mnafeli mitihani kwa kujibu mswaki ambayo hamjaulizwa. Nauliza kama kwa kadiri siku zinavyosonga kama CCM kimekuwa chama cha kidini na tena dini ya Kiislamu kwani kuna watu ambao ni makada wa CCM ambai ni Waislamu wanawahamasisha waislamu kuhusiana na chama chao hicho.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.Kwa bahati mbaya kila mtu anakujua kwa ujinga unaoandika.

Naona jinsi unavyohangaika kwenye uzi huu kwa kutumia ID zako 5 tofauti tofauti.

Kamanda pole kwa majukumu. Lete yale maombi huenda yatawaponya vijana wenu wasikichafue chama chako kwakauli zao chafu hapa jukwaani.
 
Jibu swali. Sina haja ya kuuliza kuhusu Chadema kwa kuwa ninafahamu ni cha kitaifa. Ndiyo maana mnafeli mitihani kwa kujibu mswaki ambayo hamjaulizwa. Nauliza kama kwa kadiri siku zinavyosonga kama CCM kimekuwa chama cha kidini na tena dini ya Kiislamu kwani kuna watu ambao ni makada wa CCM ambai ni Waislamu wanawahamasisha waislamu kuhusiana na chama chao hicho.

Ccm ni chama cha kitaifa wacha kuhangaika mkuu ndio maana hata baba yako hajakiondoka ccm mpaka leo.
 
Kamanda pole kwa majukumu. Lete yale maombi huenda yatawaponya vijana wenu wasikichafue chama chako kwakauli zao chafu hapa jukwaani.

Naona uko zamu leo.Lakini nakushauri si lazima ubadili ID kama unavyofanya.
 
Kila la kheri kwakuwa kimeshaimarika kanisani sasa ni wakati wa kuwahadaa waislamu. Nyakageni kazi yako imeonekana na sasa Mbowe anaokuongezea nguvu ili chama kiinaendelea.

Mtu mzima hovyo,huna maana yeyote hata thamani yako ni sawa nna panya wakawaida majumban.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom