jitahidi kuwa muelewa!! amekwambia dunia inaishangaa Tanzania siyo yeye Mbowe anashangaa kama hao magamba wako.kumbe huu ugonjwa wa kushangaa unaambukiza??
pinda alishangaa
JK akashangaa
sasa Mbowe anashangaa
basi na mimi nashangaa

Tunaenzi amani yetu, ukiuliza utaambiwa unataka kumwaga damu na mchochezi.
Nchi hii sijui nani alituloga?
Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.
Nawasilisha
​Watanzania hatujalogwa bali tumelishwa unga wa ndele!!!

CCM wanafurahi sana wanapoona watanzania wengi ni wajinga.

CCM wakigundua kuna watu wametambua haki zao na kuzihoji wanasema unaleta vurugu.

Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.

Nawasilisha

Penye red, ni dola 1000 kwa mwaka.

Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.

Nawasilisha

Mkuu unaulizia jeshi lipi? usikute ni hili lililochakachuliwa!!
Mkuu huo unga wa ndele ukoje? au ndiyo bangi mkuu?