POSHO kaka, nchi hii imeshaliwa tayari na wewe ukipata chance komba tu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Inafikia hadi mwakilishi wa wananchi maskini naye anaomba rushwa duh .....
Itatugharimu sana kurudisha tunu za taifa hili zilizokuwepo enzi za mwalimu.
KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA
Hapo bold ni kweli au umekosea tarakimu?
Hebu fafanua !
ASUBUHI HII KAMA DKK KUMI ZILIZOPITA MUHESHIMIWA MKUU WA UPINZANI FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA MASWALI KWA WAZIRI WA UCHUKUZI AMEULIZA KUHUSU KUSIKITISHWA NA MKATABA WA KIA KATI YA SERIKALI NA KIDCO AMBAPO KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA
OLESENDEKA AMESHAURI SERIKALI IWACHUKULIE HATUA KALI WOTE WALIOINGIA MKATABA HUO
WAZIRI KAKATAA KASEMA SASA NI UTEKELEZAJI TUUU
aibu kubwa kwa serikali ya CCM na JK

Anguko la CCM limetimia hawa si ndiyo waliotuaidi sisi waislam mahakama ya kadhi mwaka 2005 sasa wapo wapi sasa mbona hiyo mahakama yetu sioni
salaale!! hivi serilkali ina wanasheria kwel? au pesa nyingine inaingia kwenye mifuko yao