Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

bibikuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
832
Reaction score
496
Nipo mkutano wa mbowe hapa kibaha now. Ni saa 12:25 jioni mboww bado anahutubia. Polisi wamekuna kumshusha amegoma hadi saa 12 unusu anasema ndio atashuka na yuko tayari kukamatwa akishuka.

Mgombea wa ubunge ccm 2010 alieshika nafasi ya tatu kura za maoni Dr Rose Japhet kajiunga xhadema na kukabidhiwa kadi na mbowe
Nitawapa taarifa zaidi hapa kinachoendelwa.

---------------------

Salam, wana JF,

Jana katika mkutano wa m4c-opd uliokuwa ukiongozwa Mh Freeman Mbowe mjini kibaha makada watatu wa ccm walijiunga chadema na kupewa kadi na mwenyekiti wa chama. Makada hao ni:

Dr. Rose Nkonyi ambaye alikuwa mgombe ubunge huko Kibaha.
Joseph Kachale ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati wa Utekelezaji CCM (WILAYA)
Hafidh Mudhihiri ambaye alikuwa Katibu wa Vijana Tawi la Mailimoja

Source: Tanzaniadaima 02/02/2014
 
...

...Pamoja Kamanda !!!

hapa tupo Mwanza M4C - OPD inasonga mbele !!!
attachment.php
 
Mkutano umefungwa now kuna amani sana hadi sasa
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

Hiv wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo enedelefu katka kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe un TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPA KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

HivI wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo endelevu katika kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe una TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPO KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!
 
P;osi wapo busy na saa.wakati saa yao ipo kushoto..haha.Hapa si clear.... Polisi wanahitaji kuwa na saa ambayo mkutano ukianza basi hiyo saa ihakikiwe na kukubalika...halfu ianze hesabu..hadi mwisho.
 
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.

Vipi police wamesha kamata lile jamaa linalo uuwa watu kule musoma....au hata wale wanao uwa wanawake kwa kuwakata shingo?
Mbowe yupo peupeeeeee hana hata rungu wala hapigi mtu
 
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.

kikwete alifika Magu saa 12na kuhutubia hadi saa 1, tia upumbafu wako hapa!
karibu Furahisha upate elimu ya uraia ujitambue!!! pamoja daimaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Vipi police wamesha kamata lile jamaa linalo uuwa watu kule musoma....au hata wale wanao uwa wanawake kwa kuwakata shingo?
Mbowe yupo peupeeeeee hana hata rungu wala hapigi mtu

hata madawa ya kulevya pia hana hamchelewi kumsaidia kuficha.
 
Mbowe ameeleza kuwa hakuna sheria per se inayotaka mikutano kufungwa saa 12 kamili bali sheria ya uchaguzi ambayo haiko applicable hapa. Wakuu wanasaini kadi za uanachama hapa no
 
Back
Top Bottom