Mbowe atoboa siri

Mbowe atoboa siri

PATOXIC

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
63
Reaction score
34
Katika mkutano wa leo mbowe ametoboa siri ya mafanikio ya CHADEMA kuwa ni umoja walionao katika uongozi wao huku wabunge wao wakiwa tayari kutumika katika ujenzi wa chama hicho. Amewaomba wameru wasishangae kumuona Nasari akiwa Lindi au Mtwara katika shughuli za ujenzi wa Taifa kwani mbunge wa Chadema ni mbunge wa Taifa. Hayo aliyasema kukiwa na mvua kubwa iliyoendelea katika mkutano wa shukrani kwa Wameru kukichagua Chadema katika viwanja vya Leganga USA leo jioni.
 
Kudos Kamanda Mbowe. Umoja ni nyenzo muhimu ya CHADEMA, hakikisheni hakuna mafedhuli watakaoharibu umoja, upendo na maono ili kuikomboa Tz
 
ASANTE MBOWE jiimarisheni vijijini, chukueni nchi... tumechoka..
 
CDM naipenda nilichangia wakati wakiwa ARusha Wakija dsm lazima nitoe tena kwa moyo mmoja mafanikio ya hela yangu nayaona
 
congratulation twas a tough battle and hardwork resilence and strong willpower...in the end you toppled..was a good chase coz for a month we followed each event until the admn forced me to join and not spectate...
 
Well contested, well won. M4C mpaka kieleweke
 
Kazi iliyo mbele ni kubwa kuliko iliyofanyika, kunahitajika nguvu ya ziada, umoja, kujituma na mshikamano.
 
umoja ni nguvu
utengano ni
uthaifu tuwaweke wabunge wooote wawe kundi 1 hakika 2tafika.
 
Kamanda Mbowe nakuaminia. Njoo LONGIDO ndo kuna mtaji mkubwa wa CCM imekuwa ikisha kila mwaka kwa 84% huku wananchi wake wikiwa na kipato cha sh. 200-500 kwa siku. Ninajua si rahisi watu kuamini hili lakini ndivyo ilivyo vijana wa CDM tuliamua kufanya assessment tukagundua hili. Vijana, Akina mama na Wazee wanafunzi wamechoshwa sana CHADEMA ni kuja kuchukuwa tu. Viongozi wa Chama CCM ni maarufu sana kwa kushinda na tooth pick midomoni wakichokonoa vipande vya minofu ya nyama huku familia zao wakiishia kushinda kwa uji wa chumvi. Kwa kifupi jana walirudi vijijini kwa aibu baada ya kukung'utwa na nguvu umma.
 
Back
Top Bottom