Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,885
- 2,381
huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
Du du duuduuu
Duniani kuna watu!!!!!!
huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
Zito au dr slaa lazima arudi mwanza, busanda na tarime, kwimba kwa reticia nyerere hayo ni majimbo yanayohitaji final touch kuyaweka kibindoni
Acha ujinga wewe fika pale NMC uone nyomi ya watu, inawezekana ni mmoja ya watu niliopata kuongea nao njia nikiwa naelekea Unga lmt wana lalamika kwamba viongozi wa chadema wakija arusha huwa hawatoi matangazo ya kutosha mimi mwenye nilisha sahau kama leo Mbowe atakuwepo Arusha mpaka nilipo ona hapa JF ndipo nikaenda pale NMC..Watu ni wengi Nimebahatika kuchukua picha naangalia jinsi ya kutuma mana sina cable na mimetumia simu..huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.
Asante mkuu, watu ni wengi sana tusubili watu walio na kamera wataleta picha za maana....saa ya mabadiliko imefikaAhsante kwa picha Mkuu Crashwise, nyomi linatisha.
Pata picha
Pata picha
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.
Kisu kunako nyama huuma sana. Karibu tarehe 1 tusheherekee wewe kuvuka mpaka na kuacha wale wa kijani na njano. WELCOME HOMEhuu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!