Kufanya maandamano si uasi ni haki ya kikatiba. Ni nini hasa dhamira ya hayo maandamano aliyoyatangaza Mh. Mbowe?. Tujuze kwa hilo.Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.
.Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.
What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.
Dhumuni la hayo maandamano ni nini kama ni uasi tujue moja.