Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Mbowe ni kiongozi mahiri saaana! CCM hawezi kumpata kiongozi kama huyu, baada ya Nyerere Tanzania, Mbowe is the next prominent contemporary leader! Ukweli ndo huo, watu wakubali au wakatae!Ni mmoja wa Watz wachache sana aliyesimama na kuamua kuwatetea wanyonge wasio sikilizwa kwa miaka mingi, pia atakumbwa kwa kuongaza chama cha upinzani mpaka kufikia hatua ya kuwa na nguvu kubwa ya kuingia Ikulu! Sasa jaribu wewe kufuata nyayo zake kama utafika popote zaidi ya kuishia kama Mapalala, Lamwai au Kaborou!!
Mbowe namjua ni mtu wa maslahi yeye anaangalia kwanza pesa haya mambo ya chama baadae...safi sana Mbowe.
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametajwa kuwa katikamazungumzo na Tanesco ya kuuziwa mtambo wa kufua umeme unaoitwa KIKULETWA ulioko hai, Ili baada ya kununua aweze tena kuizia umeme Tanesco, Hata hivyo mbowe hakupatika kuthibitisha hilo lakini John mrema mkurugenzi wa Chadema Sera na Bunge amesema si kweli kuwa Mbowe alitaka kununua bali halimashauri ya hai ndiyo wapo kwenye mpango huo na Mbowe kama mbunge alikuwa akifanikisha hilo.
Gazeti la Raiamwema la Leo.
Try me...........pathetic bichi!.....I mean parachichi bichi!Wewe jamaa bado una mambo ya kishamba sana utoto mwingi hivi kuweka hii picha ndio uonekane mjanja humu JF.
Ukiona mwanaume anamjadili mwanume mwenzake ujue anamtaka!!..........The likes of CCM Ubwabwa humu JF.
Wakimuona Mbowe wanatetemeka masaburi!