Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka tutakapoona vinginevyo

Kama Mbowe kawezesha CCM mpaka Leo iendelee
Kuwa Madarakani ikiwa na Wingi wa Bungeni kuna sababu gani ya kuombea aondoke?

Team gani inaombea isikutane na team ambayo kila wakikutana Ama mnaifunga au inasusia Mechi?
 
kwa hali ilivyo, hata mkiamua vinginevyo yeye atabaki kuwa mwenyekiti wenu tu.
wakati ukoo unaplan kuanzisha chama we ulikuwepo?
 
Hizi ndio akili za "Think tank" wa Chadema!!!!!!!
Kuna safari ndefu sana kwa kweli.

That being said, unamaanisha ya kwamba CCM nayo Itaendelea kuwa Chama tawala mpaka hapo watakapoona vinginevyo!
Tuliza saburi dawa ikuingie kamanda..
Mnataka kumgeuza mbowe kama lipumba sio
Ccm itang'oka tu nakupa miaka 10 huku mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti wa chadema
Mnachotakiwa kujua CDM haifi kwa kuhama viongozi bali itazidi kuimarika
Vipi lipumba anahamia lini Ccm
 
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever
Mboe anabusara he deserve to be there.
 
Kama Mbowe kawezesha CCM mpaka Leo iendelee
Kuwa Madarakani ikiwa na Wingi wa Bungeni kuna sababu gani ya kuombea aondoke?

Team gani inaombea isikutane na team ambayo kila wakikutana Ama mnaifunga au inasusia Mechi?
Wanachekesha sana hawa ccm
 
kwa hali ilivyo, hata mkiamua vinginevyo yeye atabaki kuwa mwenyekiti wenu tu.
wakati ukoo unaplan kuanzisha chama we ulikuwepo?
Kama ccm ilivyo na wenyewe au sio
Ukoo ulioanzisha ccm sijui kama unaujua
 
Kimario...

Mbowe...

Balansidi ikwesheni kabisa. Hata awe mwenyekiti foreva ni sawa tu kama chama kinaendelea kuimarika. Pipoooooooooooooooooz !!!
 
Back
Top Bottom