'WaChagga kwa pesa' ina maana kabila nyingine wote hawatafuti pesa? Wabunge waliotetea kuendelea kulipwa posho na wengine kudai iongezwe wote ni waChagga?! I bet you look exactly like your avatar...because that face really suits you!
Mkuu, kuna gari lingine pia kapewa na serikali afanyie kazi zake sijui kama mnajua nyie Pro-Chadema-JF, mnaofata mkumbo ilo bado analo tofauti na ilo shangingi, mwambieni nalo aliache sio kuleta usaniiSoda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000.00 kwa Mtanzania wa kawaida! Jamani jamani kama kweli Mbowe ana huruma kwa Watanzania akatae hii pesa ya viburudisho ofisini kwake. Hii ni kufuru kabisa tena dhihaka kwa watanzania wanaopata kima cha chini! Yaani Kiongozi wetu anatumia mara mbili ya pesa unayopata kwa mwaka kwa ajili ya kuwanunulia wageni wake soda kwa mwezi mmoja tu!!
serikali ya ccm ipo kuwanyonya watanzania iweje baba wa taifa alikataa kujengewa nyumba ya kifahari ila cha kushangaza wakamlazimisha so ata kwa Mbowe sinto shangaa badala wamshukuru kwa kugunguza matumizi ya serikali wanamdhihaki na kumkejeli.mkubwa kashikwa pabaya...... ngoja tuone utetezi!alianza vizuri nami nilimsapoti, ila hili "VIBURUDISHO" hapana
Acha unafiki wewe! Leo ndio umeona kuponda kabila ndio norrow thinking? au kwa sababu wewe ni Mchagga ndio imekuuma? Hiyo tabia ya kuponda makabila imeletwa humu JF, na Pro-CDM-JF, mara kibao wanapondwa Wakweree, Wapemba, watu wa pwani. Waarabu, mbona uwa sikuoni kupinga ilo acha unafikiThanks Riwa! kweli kabisa huwezi kusema kabila fulani linapenda pesa as if makabila mengine ukiwapa pesa wanakataa this is bullshit!!!kwanini basi makabila yote yanafanya kazi basi wangewaacha wachaga wafanye kazi wao walale home wafe na njaa! Alichokifanya mbowe haina relationship na ukabila, at least yeye amerudisha hilo shangingi, mind you CCM hawawezi kukubali kuwa defeated kirahisi so lzm watafute sehemu ya kumcorner ili waonyeshe umma mbowe ni muongo!! huyo jamaa anayekimbilia kuponda mambo ya ukabila ana narrow thinking
Hebu ulizia Soda na Chai kwenye Ofisi ya SpikaNINANUKUU...... "Soda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000" MWISHO WA KUNUKUU
Wanafki tu hao? Ungesikia walivyokua wanamsifia Pinda kwa kurudisha VX, leo wanamuona Mbowe mnafski!!I said it before, kwamba subirini majibu ya CCM na ndiyo mtajua they are working against us. Hivi pinda livyokataa hiyo sijui VX aliitwa mnafiki na muongo mkubwa? Aliambiwa aachie na nyumba pamoja na expenses ya ofisi yake???
Yaani kweli nchi yetu ni mafala, watu wanaong'ang'ania hizo posho na migari wasiyostahili wanaonekana eti ndiyo heroes na the only one aliyerudisha hilo shangingi eti ndiyo wa kuwa attacked. "ONLY IN TANZANIA"
Hivi kama Mbowe kaanza kwa kurudisha gari, kwa nini wengine wasifuate kwa walau kusema Posho fulani zipunguzwe?
Hivi Lowassa, Chenge, Rostam, Membe nk hawawezi kutumia magari yao ili kuokoa hela za walalahoi?
Hivi Chai za Ikulu, Bunge, Wizara ...... kwa mwezi ni shilingi ngapi?
Kwa nini watu wanakomalia kambuzi wakati nina imani kuna watu wana nyati na wamekaa kimya?
Kama Zitto alianza, Mbowe kafuata, kwa nini sioni Gamba moja la CCM likija na njia nyingine ya kubana matumizi?
Eti Mbowe mnafiki, ebo......... Kwani mnafikiri hatuna macho na masikio? Ngoja Slaa aje hapa na Chai za Serikali ya CCM/CCM yenyewe.
Cdm lengo lao ni kupunguza matumizi, na siyo kufuta matumizi. wabunge wa Ccm nao warudishe magari ya Tzs 90m/= kisha wapate posho. huwezi kukwepa matumizi bali unaweza kuyapunguza yale ambayo hayana tija. Ofisi ya mkuu wa kambi lazima iendeshwe na ndicho anachofanya m/kiti wa cdm.
Soda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000.00 kwa Mtanzania wa kawaida! Jamani jamani kama kweli Mbowe ana huruma kwa Watanzania akatae hii pesa ya viburudisho ofisini kwake. Hii ni kufuru kabisa tena dhihaka kwa watanzania wanaopata kima cha chini! Yaani Kiongozi wetu anatumia mara mbili ya pesa unayopata kwa mwaka kwa ajili ya kuwanunulia wageni wake soda kwa mwezi mmoja tu!!