NINANUKUU...... "Soda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000" MWISHO WA KUNUKUU
Uellewa mdogo kwa magamba,kupunguza posho zisizokuwa na tija.zile za msingi ni muhimu kufanikisha maendeleo au ufanisi.mlitaka atumiemshahara wake kuendesha shughuli za ofisi kama kiongozi wa kambi ya upinzani?
unatumia akili gani mtu mjinga wewe kwani hayo mahesabu umepiga na makalio au., ...? bunge linakuwaga miezi yote au hujui unaloongea . ndezi.....Soda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000.00 kwa Mtanzania wa kawaida! Jamani jamani kama kweli Mbowe ana huruma kwa Watanzania akatae hii pesa ya viburudisho ofisini kwake. Hii ni kufuru kabisa tena dhihaka kwa watanzania wanaopata kima cha chini! Yaani Kiongozi wetu anatumia mara mbili ya pesa unayopata kwa mwaka kwa ajili ya kuwanunulia wageni uanwake soda kwa mwezi mmoja tu!!
Kambi ya upinzani ikipokea idadi ya wageni 30,000 kwa mwaka = 24,000,000/30,000=800 kwa kila mgeni
Soda na chai kwa wageni wa KUB ni Tshs. 2,000,000.00 kwa mwezi na kwa mwaka Tshs. 24,000,000.00!! Wakati kima cha chini ni Tshs. 120,000.00 kwa mwezi na mwaka ni Tshs. 1,440,000.00 kwa Mtanzania wa kawaida! Jamani jamani kama kweli Mbowe ana huruma kwa Watanzania akatae hii pesa ya viburudisho ofisini kwake. Hii ni kufuru kabisa tena dhihaka kwa watanzania wanaopata kima cha chini! Yaani Kiongozi wetu anatumia mara mbili ya pesa unayopata kwa mwaka kwa ajili ya kuwanunulia wageni wake soda kwa mwezi mmoja tu!!
unatumia akili gani mtu mjinga wewe kwani hayo mahesabu umepiga na makalio au., ...? bunge linakuwaga miezi yote au hujui unaloongea . ndezi.....
Mimi siyo mjuzi wa mambo yanavyofanyika bungeni, hivi wabunge wa upinzani au CHADENA wakikutana kuna gharama zozote kama maji ya kunywa? kama zipo zinalipiwa na fungu lipi?
Kizitto Noya, DodomaKIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema licha ya kurejesha kwa hiari gari alilopewa na serikali ataendelea kuchukua posho za ubunge nyinginezo anazopewa kutokana na nafasi hiyo ya uongozi.Mbowe alisema hayo jana wakati alipotakiwa kujibu hoja zilizotolewa kwa nyakati tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ofisi ya Bunge zikimtaka aeleze kama ameamua kurejesha gari, basi aache pia kuchukua posho mbalimbali anazozipata kama mbunge na nafasi yake ya uongozi wa kambi ya upinzani.Katika mahojiano na gazeti hili, Mbowe alingaka na kusema kuwa hayuko tayari kuacha posho anazopewa kwa vile zipo kisheria na ni muhimu katika kufanikisha majukumu yake."Naweza kusema kuwa huu ni upuuzi! Alingaka Mbowe alipoulizwa kama yuko tayari kufuata ushauri wa CCM na ofisi ya bunge.Lakini, akaongeza: Kuna mambo mengi ya msingi tunaendeleaa kuyafanya. Unaposema niache na huduma zingine, ofisi ile inaendeshwaje? "Mambo hayo (kuacha gari) tunayafanya kwa sababu tunaangalia pia ni kwa namna gani hayaathiri shughuli za kiofisi. Ukisema nisichukue Sh2 milioni kwa mfano, unataka ofisi hii iendeshweje?" Alieleza kuwa ataendelea kupata huduma hizo kwa kuwa ni haki yake, hivyo kuzikubali au kuzikataa ni uamuzi wake na hashurutishwi na mtu.[/QUOTES] Wewe ni MWONGO. Tena MWONGO MKUBWA Habari iliyoandikwa ktk gazeti la Mwananchi haiko ki-ivyo. Ni Mwongo umetia maneno yako mengi na sehemu nyingine umebadilisha sentensi ikiwa ni zaidi ya kuziondoa sentensi nyingine.Habari iliiyopo ktk gazeti la Mwananchi, toleo na 04014 la 23 Juni 2011 uk 4, iliyoandikwa na Kizitto Noya, Dodoma na Raymond Kaminyoge,Dar yenye kichwa " SHANGINGI LA MBOWE LATIKISA CCM, BUNGE haijawa kama hii unayoileta. Umechakachua sana
hawa ccm waetnga pesa yote hiyo kwa ajili ya viburudisho? mama weeeeee"Mwezi huu amepokea Sh2 milioni kwa ajli ya viburudisho kwenye ofisi yake kama kiongozi wa kambi ya upinzani. Ninamwuliza na hizo nazo atazirudisha? na je, ataendelea kupokea au hatapokea?" alihoji Nchemba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Kambi ya upinzani ikipokea idadi ya wageni 30,000 kwa mwaka = 24,000,000/30,000=800 kwa kila mgeni
Mkuu, hapa pana shida kdg Mbowe ameonesha mfano kwa kuthubutu kivitendo wkt Pinda alishindwa (ie.bucking dog never hut!!!!) lkn ikumbukwe mfumo uliopo bungeni ni wa kifisadi kwa manufaa ya wana-magamba hivyo kwa kuwa Mbowe kaanza kwa kishindo Big Up!!! mengine ya mchakato wa posho yatajipanga accordingly!! ktk hili ni muhimu villevile ku-review kanuni na taratibu za bunge kama inavyokuwa ktk katiba ndiyo tutafika vinginevyo itakuwa kilio cha samaki!!!!
THINK TWICE!!!!!
Tuwaulize walioweka kiwango hicho kwanza ambao ni CCM kabla ya kumwuliza Mbowe ambaye amezikuta na hakuziomba. Tujidali kwanza kama ni sawa serikali kutumia shangingi au la, hilo la posho mliibue baadaye. Msipindishe hoja ya msingi.
Tatizo watu mnaleta hoja juu ya hoja. Kwanza tumalize hili la shangingi. Je, ni sawa mbowe kukataa gari hilo kama namna ya kuonesha kwa vitendo hoja ya Chadema ya kutaka serikali iache kutumia magari hayo ya bei kubwa?
Kisha, ndo tujadili posho hiyo ya ofisi ya KUB kama ni sawa au si sawa. Hii ni hoja nyingine. Na tusianze na Mbowe, maana yeye aliikuta pale, hakujipangia mwenyewe- hakuomba. Tuanze na CCM ya akina Samwel Sitta walioanzisha kiasi hicho walifikiri nini. Tukimalizana nao ndo tuje kwa bosi wangu mbowe, tumwulize kama zinazidi au zina pungua. Ila kwa sasa tuna deal na shangingi kwanza.