Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
duh... kimenuka Ukawa😂😂😂😂
Mbatia Amekuwa Kunguni wa Ukawa 😂😂😂
 

kwani mwenyekiti wa chama ni nani? na akiamua kukifuta utafanya nini unapopewa taarifa kama hii fikiri kisha chukua hatua mbowe ameuza chama kwa wamasai
 
Yani kutokumuona mbowe makujukwaani tayari mnatengeneza propaganda. Kweli mnawafuatilia ukawa
 

Vipi, hicho chanzo chako hakijakwambia kwamba Mbowe amempigia magoti Dr. Slaa arudi ili apewe Yeye nafasi kuwa mgombea na kwamba ataongea na NEC ili mbadlishano huo uhalalishwe kisheria? Au chanzo chako kimekwambia kaenda kwa Slaa KUJUTA TUUU?
 
Too cheep to believe! Yawezekana kweli Mbowe kaenda Marekani na inawzekana kabisa akawa alienda kumwona Dr. Slaa na inawezekana kabisa kua ameenda kufanya nae mazungumzo but kusema kwamba eti wajitoe UKAWA au kampeni zimepooza, hilo unatudanganya mkuu, jamaa anatwanga hadi Chato we unazungumzia kupooza?
 
Nipo hapa kayanga karagwe sasa hivi ni nooomaa aisee hakuna pa kukanyaga watu ni wengi saaana wanamsubiri raisi mtarajiwa Ndugu Edward Lowasa kwa mwitikio huu ni bora dr.slaa na hawara yake wabaki huko huko wasije kweli mabadiliko ni lazima mwaka huu..
 
Uongo km huu hata watoto walio ktk daipa hawawezi kukubali.
Eti DMV na hotel ipo Ohio ?? Mnadhiirisha Hali ni mbaya sana kwenu...
Cha kuchekesha, wengi mmejiunga from July 2015..!!
 
Hata Mbowe akiondoka sisi tutabakia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…