Siamini kama Mzee Mwanakijiji ambaye nilimwamini miaka mingi kwamba anaweza kulike hiyo habari
Ila vijana wa maccm na mabwenyenye wote, muache kuigeuza nchi yetu, taifa la watu waongo, mtu unaandika DMV, dulles airport alafu unasa vipo ohio ni uongo wa kijanga na hatari..ukawa lindeni kura tuondoe hawa watu..wananajisi nchi
Asante kwa ukweli huu, uongo ukisemwa na kuachwa bila kukanushwa haraka, unageuka ndio ukweli wenyewe!.
Lakini pia naomba kuuliza, Chadema DMV haina ofisi, headed paper na official seal?!, au Chadema DMV ndio huyo Kalley, yeye ndio ofisi, yeye ndio headed paper na yeye ndio official seal?!.
Pasco
Nisijibu maana sio msemaji wa chadema-DMV lakini kwa hali halisi ilivyohuku huwezi kuendesha tawi la chama kama huko nyumbani.Asante kwa ukweli huu, uongo ukisemwa na kuachwa bila kukanushwa haraka, unageuka ndio ukweli wenyewe!.