Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.

Asante kwa kumuumbua huyo msen**
 
Duh! CCM mna tapa tapaaa alafu kinacho sikitisha ni kuwa propaganda zenu ni zakitoto kitotoooo hivi huko CCM hakuna hata mtu mmoja mwenye upeo mkubwa na uwezo wa kuunda conspiracy au ptopaganda ya maana!?
 
Leo nimeamini kuwa chuo cha kigamboni kina propaganda za uongo mimi nipo usa chuoni najua kila kinachoendelea hapa ccm mmelogwa kwa uongo kweli mwaka huu mtashindwa kabisa
 
Rud kajipange upya hapo umeandika pumba hakikg hujitendea haki 7000 ya lumumba!!
 
Babu Dr yupo humu JFs muda c mrefu atakujibu khs hili zogo lako la uongo...
Muda c mrefu mama aliiweka ktk charge Ipad yake
 

Chai hii
 
Eti ni kweli Magufuri anamgogoro wa familia asa mke wake na ndio maana mpaka leo utajamuona anamuombea kula?
 

Rudio kusoma tena, hakuna sehemu alipotaja Jina la hoteli.!
 
Wakuombwa msamaha awe Dr.Slaa kweli!?, na mwombaji wa msamaha awe mbowe!!!!?.Hii itakuwa moja ya maajabu ya DUNIA.

Hata Mamvi kuumia Ukawa mlisema haiwezekani, yote yanategemea uwezo wa akili kutambua na kuweka uwezekano wa akili yajayo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…