Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
-
- #201
Mambo ya kuishiwa pumzi muulize Kingunge,Sumaye alishapiga goti kwa Magufuli alivyolazwa Muhimbili,Lowassa baada ya hasira kwa sasa ni "project"Mmeishiwa na sera; bado kivuli cha LOWASA na SUMAYE kinaitesa CCM.
Na bado hizo ni mvua za rasha rasha subirini EL NINO inakuja.
Bado nina stock za fulana za "malofa na wapumbavu katika ubora wao"...nikuletee.Tulia dogo...
Wewe endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.
Halafu babu yake niMashinji ni kijana wa lowassa
Mkuu asante kwa kuja,jikite kwenye mada tupate maarifa.Halafu babu yake ni
"mchaga" sema tu alihamia usukumani. Au sio?
Mambo ya kuishiwa pumzi muulize Kingunge,Sumaye alishapiga goti kwa Magufuli alivyolazwa Muhimbili,Lowassa baada ya hasira kwa sasa ni "project"
Imebaki stori.CDM. Before and after Lowassa.
Sumaye alikiri kwa kinywa chake "Raisi Magufuli anapenda watu wake,ameanza kazi vizuri nampongeza sana"!KWani wew unapokwenda kumsalimia mgonjwa ni kwamba amepiga goti mbele yako.
Mbona unaropoka pasipo kutafakari. GT wa namna gani wewe uliyeishiwa hoja za kuleta hapa ukumbi wa Great Thinkers???
Kijana tunakufungua..usije kujuta!
Jikite kwenye hoja upate maarifa kijana.
Usitukane dogo toa hoja!Wa kunipa maarifa ni nyie mlioshikwa na Mwenye Chama Cha Mbweha??Maana akili zenu hazina tofauti na aliyewashika
Safi sana hata mjuaji hujuzwa kijanaUlinifunga mpaka unifungue??Haafu kwa akili zenu za kushikiwa mnadhani wote umri wao ni sawa na wakwenu.
Kamwambie aliyekutuma hapa mwisho wa lami................
Safi sana hata mjuaji hujuzwa kijana
Usitukane dogo toa hoja!
Jikite kwenye mada...elewa kisha toa mchango.Kwahiyo nimeshakujuza na umeelewa??Nenda basi mwambie anayewatuma kwamba Watanzania wamechoka na Sinema Mawaziri wafanye kazi sasa
Jikite kwenye mada...elewa kisha toa mchango.
Yako matusi zangu hoja..,tabia haina dawa mangi!Huna mpya wewe Mwanacha wa Chama Cha Mbweha.......Naona CDM wamewaweza kweli kweli.
Jikite kwenye mada dogo.Kampeni ya wana CCM kuitangaza CHADEMA itaisha lini?