Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

Kuna watu weshajiondoa wenyewe ofisini. Tangu mkuu wa mkoa hadi mpiga deki kituo cha polisi Lindi. Hamna kazi nyote kama kweli hii sio windowshoping. Jipelekeni wenyewe makwenu. 1, Je, Lindi ni Hai 2. Kwa nini mmeruhusu afuate nyayo za alikopita kiongozi?? Mwajua kuwa hairuhusiwi?
 
Utakufa wewe na ukoo wenu wote kifo kibaya lkn cdm itaendelea kudumu
nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
 
Tena wanasombwa na fuso
 
Siyo kila mtumishi wa serikali ni mwana ccm
 
CHANGAMOTO ZA KUSINI : Mbunge Cecil David Mwambe asema wananchi wa Kusini hawana la kusifia kuhusu reli,flyovers, ndege maana hazifiki Lukuledi, Ndanda wala Masasi bali wananchi wa Kusini wanataka soko la korosho lililo imara, barabara , maji safi, afya na elimu ili waweze kuunga juhudi


Source: CHADEMA MEDIA TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…