Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

Muulize raisi wako sugu , ameenda kumpokea kwa nderemo na vifijo! Kha chadomo chali mmeufyata, Kama unajiona bingwa muulize akupe jibu yupo hukohuko mkoani kwako mbeya. , acha kulialia nyuma ya keyboard .
 
Bashite wewe mpumbavu sana sugu amkimbie Magufuli kwa Kisa gani amekuwa Naye front kumuonyesha ni mbunge wa Mbeya alichaguliwa na wananchi kama alitegemea angekimbiwa apate mtaji wa kisiasa ila kula kwake ndio maana Magufuli Alina kaokota bingo
 
Natabiri huenda ccm ikaiingiza nchi yetu katika vita ya wenyewe kwa wenyewe 2020 baada ya uchaguzi mkuu
 
Alikua front au alikua anamsifia na maombi kibao , sasa wewe kidampa unaweweseka nini?
 
Bashite pumbafu zero brain kabisa maombi kibao Magufuli kwenye nchi hii amewahi toka fedha zake au ni fedha za umma na ni kazi ya mbunge kueleza vipau mbele vya wananchi mbona nyie washamba hamjifunzi
 
Natabiri huenda ccm ikaiingiza nchi yetu katika vita ya wenyewe kwa wenyewe 2020 baada ya uchaguzi mkuu
Ka
Bashite pumbafu zero brain kabisa maombi kibao Magufuli kwenye nchi hii amewahi toka fedha zake au ni fedha za umma na ni kazi ya mbunge kueleza vipau mbele vya wananchi mbona nyie washamba hamjifunzi
Kidampa , huna jipya , Magufuli mwisho wa reli , mtatukana mwisho mnapiga magoti , oh mheshimiwa Raisi , tunaomba hiki na kile , tukaneni mbele yake tuone kama nyie vidume au mbuzi wa maziwa , mwisho wenu nyuma ya key board.
 
Za mwaka gani hizo images!2015?

April 29, 2019
Mtama, Lindi
Tanzania

Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani akiwa Mtama mkoani Lindi akizungumza na wapenzi, wanachama na wananchi wa Kusini mwa Tanzania.
  1. Azungumzia utajiri Kusini lakini CCM wanawatia umasikini
  2. Mbaazi zao ambalo serikali haikujali soko lake
  3. Korosho zao linaloingiza fedha nyingi za kigeni kupita mazao yote Tanzania soko lake msimu huu limevurugwa na serikali

Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Za mwaka gani hizo images!2015?
Za wiki hii hizo, hao jamaa wamegawana majukumu ktk eneo la kusini kimyakimya, John mnyika alikua mangaka wilaya ya nanyumbu, Na wengine wapo tunduru Na wengine wameenda songea. Muitikio ni mzuri mno. Alafu operesheni inaenda bila kiki kimyakimya.
 
Muulize raisi wako sugu , ameenda kumpokea kwa nderemo na vifijo! Kha chadomo chali mmeufyata, Kama unajiona bingwa muulize akupe jibu yupo hukohuko mkoani kwako mbeya. , acha kulialia nyuma ya keyboard .
Kwani ukichaa wake si aliusema mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…