Mjinga kweli wewe, kuna demokrasia kwenye uteuzi?
Hujui maana ya demokrasia kazi kujaza maneno ya ovyo na ubaguzi
Mjinga kweli wewe, kuna demokrasia kwenye uteuzi?
Mtoto wa zubeir kabwe, mbunge wa kigoma kaskazini...
Kuhusu nini mkui, kumpinga Mbowe?, mruhusuni na ZITTO muone moto wake
- Habari za ndani zinasema sio kweli hawa ni mapandikizi wake mwenyewe kama kweli anataka uchaguzi wa kweli huru na wa haki ni Zitto peke yake, wengine wote ni yale yale tu ya zidumu fikra za mwenyekiti
Le Mutuz
zitto kakatazwa na nani kugombea?!!!- Habari za ndani zinasema sio kweli hawa ni mapandikizi wake mwenyewe kama kweli anataka uchaguzi wa kweli huru na wa haki ni Zitto peke yake, wengine wote ni yale yale tu ya zidumu fikra za mwenyekiti
Le Mutuz
Kama cjadesa vibaya katiba ya CCM, nafasi ya m/kiti huwa haigombewi na mtu yeyoye bali
anayeshinda kura za maoni kugombea uraisi ndiye anakuwa M/kiti wa taifa automatically tofauti na CDM nafasi hiyo inagombewa bt mgombea Uraisi
huteuliwa. So please CDM msijifariji kwa kujicompare na CCM kimifumo mko tofauti.
Kwani kuwania nafasi si ni hiari ya mtu?.so unawalazimisha kina LISU wakati pengine hawana nia hiyo? kama vipi ungeenda kuchukua fomu wewe au ungemshauri Zitto akachuane na Mbowe.
ina maana slaa alipogombea urais 2010 alikuwa mwenyekiti wa chadema?
Mbona Zitto ni mgombea anawakilishwa na Kansa Mbarouk.mruhusuni na ZITTO muone moto wake
Sio Mpendazoe tu Kimbunga, hata mimi pia nimo katika kinyang'anyiro.
Vipi kwa upande wa CCM yenu uliisha wahi kuona nafasi ya Mwenyekiti Taifa ikishindaniwa na mgombea zaidi ya mmoja? au mmejipa upofu na kujiondoa akili sababu tu mpo CCM.
Kuhusu nini mkui, kumpinga Mbowe?, mruhusuni na ZITTO muone moto wake
Unashauriwa uache kutumia kichwa kufugia chawa tu. kitumie pia kufikiri..tatizo nyie misukule ya mbowe mmeshikiwa akili zenu basi tabu tupu...