Siasa muflisi. Kila mwanacha aliyekidhi hitaji la katiba ana haki kugombea nafasi yoyote ndani ya chadema. Hao uliowataja wanazo nafasi muhimu walizoshika, ambazo ndo zinawachemsha CCM. Chadema ni taasisi, kila nafasi ni muhimu. Mnazofanya ni siasa za CECAFA kuizuia Yanga,kisa hakuna wachezaji wenye majina makubwa,bila kujali kanuni na mwongozo wa shindano husika. Musonyi anaangalia tu biashara,kupiga hela. CCM mnachofanya ni biashara ya siasa kuihujumu Chadema.Kumbe cdm kuna usanii !!!! kwa makamu mkt sina doubt ni ushindani wa kweli lkn kwa mkt hapo mbowe ametuhadaa kwa unyeti wa kiti hicho tulipaswa kuona majina ya vigogo wanaojulikana kutoka chamani wakishindana na mbowe kama marando, lissu, mnyika na wengineo wengi ili tuone demokrasia ya kweli vinginevyo kuna kuogopana hapo au kama nimpango wa kukinusuru chama kwa uchanga na viongozi wote mlikubaliana kwa vikao vya siri it is fine vinginevyo kwa nafasi ya juu hakuna ushindani hapo