Siasa muflisi. Kila mwanacha aliyekidhi hitaji la katiba ana haki kugombea nafasi yoyote ndani ya chadema. Hao uliowataja wanazo nafasi muhimu walizoshika, ambazo ndo zinawachemsha CCM. Chadema ni taasisi, kila nafasi ni muhimu. Mnazofanya ni siasa za CECAFA kuizuia Yanga,kisa hakuna wachezaji wenye majina makubwa,bila kujali kanuni na mwongozo wa shindano husika. Musonyi anaangalia tu biashara,kupiga hela. CCM mnachofanya ni biashara ya siasa kuihujumu Chadema.Kumbe cdm kuna usanii !!!! kwa makamu mkt sina doubt ni ushindani wa kweli lkn kwa mkt hapo mbowe ametuhadaa kwa unyeti wa kiti hicho tulipaswa kuona majina ya vigogo wanaojulikana kutoka chamani wakishindana na mbowe kama marando, lissu, mnyika na wengineo wengi ili tuone demokrasia ya kweli vinginevyo kuna kuogopana hapo au kama nimpango wa kukinusuru chama kwa uchanga na viongozi wote mlikubaliana kwa vikao vya siri it is fine vinginevyo kwa nafasi ya juu hakuna ushindani hapo
Kwani Zitto ndio nani!Wewe unaumwa, mngemuacha ZITTO muone kama wangeruhusu Mbowe Kupingwa
Duh hivi kumbe Mpendazoe yupo!!
Vipi kwa upande wa CCM yenu uliisha wahi kuona nafasi ya Mwenyekiti Taifa ikishindaniwa na mgombea zaidi ya mmoja? au mmejipa upofu na kujiondoa akili sababu tu mpo CCM.
safi sana gani wakati uchaguzi wa mwenyekiti ni stage managed. mbowe kumbe hajiamini hadi apangiwe matokeo....hapo kama sio kupigwa ngwara na kutiwa kabali zzk angegombea. badala yake wagombea bandia wametafutwa.Safi, hii ni ishara ya kukua kwa demokrasia ndani ya chama, kuna vyama vingine mwenyekiti haruhusiwi kupingwa.
Mjinga kweli wewe, kuna demokrasia kwenye uteuzi?Go go go cdm nendeni mkaonyeshe kwa vitendo nini maana ya demokrasia.
Kati ya wanachama wote wa Chadema wewe umemuona Zitto peke yake,- Habari za ndani zinasema sio kweli hawa ni mapandikizi wake mwenyewe kama kweli anataka uchaguzi wa kweli huru na wa haki ni Zitto peke yake, wengine wote ni yale yale tu ya zidumu fikra za mwenyekiti
Le Mutuz
Kwani kuwania nafasi si ni hiari ya mtu?.so unawalazimisha kina LISU wakati pengine hawana nia hiyo? kama vipi ungeenda kuchukua fomu wewe au ungemshauri Zitto akachuane na Mbowe.Kumbe cdm kuna usanii !!!! kwa makamu mkt sina doubt ni ushindani wa kweli lkn kwa mkt hapo mbowe ametuhadaa kwa unyeti wa kiti hicho tulipaswa kuona majina ya vigogo wanaojulikana kutoka chamani wakishindana na mbowe kama marando, lissu, mnyika na wengineo wengi ili tuone demokrasia ya kweli vinginevyo kuna kuogopana hapo au kama nimpango wa kukinusuru chama kwa uchanga na viongozi wote mlikubaliana kwa vikao vya siri it is fine vinginevyo kwa nafasi ya juu hakuna ushindani hapo
Matusi ya nini??Mjinga kweli wewe, kuna demokrasia kwenye uteuzi?
Mjinga kweli wewe, kuna demokrasia kwenye uteuzi?
Vipi kwa upande wa CCM yenu uliisha wahi kuona nafasi ya Mwenyekiti Taifa ikishindaniwa na mgombea zaidi ya mmoja? au mmejipa upofu na kujiondoa akili sababu tu mpo CCM.
Mtoto wa zubeir kabwe, mbunge wa kigoma kaskazini...Kwani Zitto ndio nani!
Unashauriwa uache kutumia kichwa kufugia chawa tu. kitumie pia kufikiri..tatizo nyie misukule ya mbowe mmeshikiwa akili zenu basi tabu tupu...yaani mbulrula kweli wewe kaaa kimya,umepewa kichwa kufugia nyweli ,sema lini CCM kulikuwa na watu zaidi ya mmoja kugombea uenyekiti waliopitishwa na kamati kuu yenu?
Sijui Mwigulu anawafanyaga nini huko Lumumba hata akili kidogo mlizokuwa nazo hamzitumii,makalio ni kwa ajili ya kukalia tu penda kushirikisha akili au hiyo kazi ya buku 7 kwa siku ulitumia m***** kuipata basi hata kupost unaendelea kuyashirikisha???????
- Habari za ndani
zinasema sio kweli hawa ni mapandikizi wake mwenyewe kama kweli anataka
uchaguzi wa kweli huru na wa haki ni Zitto peke yake, wengine wote ni
yale yale tu ya zidumu fikra za mwenyekiti
Le Mutuz
Kaka mm siwezi kuwa
ccm hata kidogo isipokuwa tungependa kupata demokrasia ya mfano kutoka
cdm sasa kama ccm wanafanya hivi sasa cdm waige? mm nadhani si sahihi
kwa weledi wangu mdogo.