Mbowe anusurika kifo mara tatu

Afe tu , awapishe vijana kwenye uongozi , wapiganaji wa kweli kama zito kabwe
 
Kusifanyike uchaguzi wowote ndani ya chadema mpaka baada 2015 viongozi wote ni wazuri kubadilisha dereva kunaweza kuleta ajali.
 

Hoja yako ni nyepesi sana na inaonesha ni jinsi gani umeguswa na maelezo yng! Acheni kutoa takrima za Khanga na tisheti na kofia! Na pia maneno ya Mh Fredriki Sumaye ni mwiba sn Kaeni maana hamuyapendi Kama ukoma! Na pia Kama mnaushaidi na hayo Madai yenu kwanini msiende mahakamani mumshitaki.Mbowe Kamanda wa ukweli, maana Kama ingekua ni kweli mngekua tayari mmeshpeleka mahakamani maana Lwakatare ushahidi wa You Tube Tayari mkamtia ndani!
 
wewe bado ni mtoto kwa siasa za TZ na akili yako ni ya kushikiwa. sisi tunachangia NSSF na tumeona Wazazi wetu hawakulipwa angalau hata riba ya hele waliochanga/kucnhangiwa na mwajiri wewe unaleta ushabiki
Umeambiwa wapi wanashtakiwa hawa watu, wewe km Khanga hutaki kachangie hivyo vi-100 vyako lakini hutapunguza utajiri wao. Nakushauri katafute ugali ule ya Dunia huyawezi kwani huna ubavu wa kupewa hata senti ya Mifuko ya Hifadhi ya jamii km Fredrick T.Sumaye alivyokopa hela na kununua Mashanba Kibaigwa akidai ni ya IFAD wakati sio mwanachama ALIRUDISHA?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...husishwa-na-ufisadi-wa-kuimaliza-nssf-21.html
Mbowe aifilisi NSSF
*Adaiwa milioni 1200, hataki kulipa
*Atumia sheria kukwepa asifungwe
*Adai iliyokopa ni kampuni si yeye
​
 

Wewe hueleweki hauna msimamo ukamanda haupo wala gambani haumo! Komaa uijue siasa upate mahela
 
Wewe hueleweki hauna msimamo ukamanda haupo wala gambani haumo! Komaa uijue siasa upate mahela
Nakushukuru Bw Ntuzu km hata kusoma Link zinakushinda iko siku utakuwa na historia itakufafanulia mm siwezi kukoamaa kwa ajili ya visent vya kuchangiwa kwenye maBox na wenzako wakiiba fedha za Wazazi wetu mpka wanafariki hatuambulii chochote,
Subiri Kesi ya Mfuko wa Jamii walivyokwapua mabilioni inayosimamiwa na Tundu Lissu ndio utajua tunaibiwa
 

Bado niko palepale kua wew hauko upande wowote! Ndo maana nimeona haina Haja ya kujibishana!
 
Mungu akiwa upande wako Mbowe ni nani aliye juu yako?
La msingi ni kuzidi kumlilia yeye. Yeye ni mtetezi wa wanyonge. Wanyonge wanapopaza sauti zao za kudai haki kutokana na kukandamizwa, kuonewa na kadhalika...mungu anakuwa upande wao.
Kwa kuwa 'sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'.
Aluta kontinyua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…