Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Kuna majitu yamegeuza midomo yao kuwa sehemu ya mwisho ya utumbo mpana.

Teh teh teh ni kweli kabisa mkuu na hilo jitu ni bonzongo mmoja anajiita Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Wewe unawatetea hawa walioshindwa kimaisha? Wakimbie basi na hili bunge. Hakuna wa kuwabembeleza

Sijamtetea mtu ninatetea haki yangu ya msingi kupata bajeti iliyobora,na pili haki na uhuru uwe kwa watanzania wote bila kujali itikadi zao!Hata kama mnawadharau wapinzani,lakini sheria na katiba ya nchi yetu inawatambua.Labda muamue leo kufuta vyama vyote vya siasa kubaki na CCM na katiba iseme kuwa ukiwa upinzani basi haustahili kuishi Tanzania ukatafute ndhi ya kuishi.

Kaka leo unawatukana hawa sababu ni wapinzani,hujui kesho CCM itakuwa nani.Kwa nini tusilumbane kw ahoja na mwisho wa siku yale yaliyomazuri yaboreshwe na yaliyoyaovyo yatolewe.Taifa hili ni letu sote.siyo la kwenu tu,la walio na vyama yaani wanachama wa vyama mbalimbali na wasio na vyama.Cha msingi tuheshimu misingi mikuu ya ubinadamu,ambayo ni kuheshimiana,kusaidiana,kupendana,kuwa na uhuru wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa na nguvu yoyote,na usawa kwa kila binadamu.
 
Teh teh teh ni kweli kabisa mkuu na hilo jitu ni bonzongo mmoja anajiita Lizaboni

teh teh teh mkuu una maneno sana wewe! Kwa hiyo unataka kuniambia kua mdomo wa jamaa ni puru na puru la jamaa ni mdomo?
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tumeamka, tumechoka kufanywa wenda wazimu, kwa sasa tupo tayari kwa lolote, hii nchi siyo ya ccm, time will tell.
 
Full nondo aisee

Yaani hawa ccm nadhani wana radhi ya baba wa taifa kuanzia waondoe azimio la Arusha wanakuwa kama wamevurugwa kila mtu anapayuka tu hata hajui analosema , na kutokana na kungangania madaraka wakati wananchi hawawataki na Mungu anaamua kuwaeleleza malipo ni hapahapa duniani na hata ukiwachunguza wale wanaojiita wakereketwa wa ccm ukikaa nao ukasikia wanavyoongea utajua tu akili zao hazijakaa sawa.
 

kama hana jipya mbona umepaja cha kuandika? tatizo la nyinyi watoto wa ccm mnaishi kwa kutumia akili za wengine.huwezi elewa kitu.
 
kama hana jipya mbona
umepaja cha kuandika? tatizo la nyinyi watoto wa ccm mnaishi kwa
kutumia akili za wengine.huwezi elewa kitu.

wel said mkuu, unanikumbusha bunge la katiba. Ukawa walipoamua kususia bunge basi watu waliacha kulifuatilia na sasa watu wanataka Ukawa warudi ili waweze kulifuatilia tena.

Yani hii serikali ni kama redio ya betri kumi inavyopiga kelele na ghafla hunyamaza kimya pale unapochomoa betiri moja. Na upinzani ndo hiyo betri iliyotolewa.
 
Ningekuwa na kituve cha BAN ningemchapa life ban kiumbe huyo, ni shida sanaa.

Ha ha haa mkuu jitahidi tu kuyavumilia mambulumundu ya aina hiyo iko siku yatakua binadamu
 
Bunge la katiba ni EPA nyingine maana hakuna bajeti iliyowasilishwa kutungwa kwa ajili ya Bunge hilo .....
 
Mwigulu-N.Waziri wa fedha.

Deni la taifa lisipoongezeka zaidi ya 90% nimlale alienizaa
 
Tatizo sio kununua ila kutumia. Unajua kipimo kingine cha viongozi ni jee wanaweza kwenda na technology za kisasa?


Sent from my iPad using JamiiForums
Sawa mkuu kwahiyo mgamba hawawezi kutumia ila wapo wachache wanatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…