Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,757
- 10,215
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Mbowe anatapatapa, haelewi ashike wapi na aache wapi. Hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na kuachia uongozi ndani ya CHADEMA, baada ya kuonekana kuwa ameshindwa kukiongoza chama na kukosa mawazo mapya ya kukijengea umaarufu na ushawishi kwa wapiga kura.
Kwa sasa wanachama wa CHADEMA wamepoteza kabisa imani juu ya uongozi wa Mbowe na mipango yake. Kwa hiyo katika kutaka kujikosha kwa wanachama ndio sasa mbowe anakuwa kama kakurupushwa na kutangaza mambo ambayo hawezi kuyafanya wala kuongoza wala kuwa msitari wa mbele wala kufanikisha au kufanikiwa. Ndio maana anatangaza na kuzungumza vitu anavyojuwa hata yeye mwenyewe kuwa havitekelezeki wala kuwezekana hata kidogo.
Hii yote ni katika kujaribu kurudisha imani ya wanachama ambayo imeondoka kwake. Maana viongozi wenzake hawamuelewi na wala haeleweki kwa yeyote yule. Hata katika kuzungumza hayo aliyoyazungumza bado viongozi wenzake na wanachama wanaojitambua wanaona kuwa kakurupuka sana, maana hawezi kufanikiwa kwa chochote maana siyo mara ya kwanza wala ya pili kusema na kutangaza hayo aliyoyasema.
Rai yangu ni kuwa mbowe aache mihemuko na kukurupuka na kuongea vitu visivyo na msingi ambavyo hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa aina yoyote ile kuweza kufanikisha.
Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumuunga mkono. Kwa kuwa kila mtu anajuwa kuwa CHADEMA ni wachumia tumbo na watu wasio na uchungu na maisha ya watanzania zaidi ya kupigania matonge yao tu.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.