Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16] unamhadaa nani?
Sina sababu ya kumhadaa mtu yoyote, Mimi na ccm nikama tulivyo mimi na wewe tusivyo juana humu.

Mimi ni muumini na mfuasi wa Jembe Magu ambae naamini angekuwepo mpaka sasaivi nisingekuwa nasota kwenye foleni hapa vigwaza saivi.

Naamini angekuwepo tungekuwa na njia nne dar, chalinze.
Na umeme usingekuwa kichefchef kama hivi.

You know what I'm try to say.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Punguza fikra za kitumwa mkuu,hata wewe unauwezo wakupima unacho ambiwa, kuwa mmarekani akisema kilakitu ndio ukweli it's sort of stupid mind.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwa viwango vyote vya upimaji makonda ni mhalifu. Labda kama mtu ana mtindio wa ubongo ndiyo anaweza kushindwa kuona uovu wa Makonda.
 
Wewe ni taploo [emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…