Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,761
- 165,354
Wewe gamba ni mnafiki tangu lini ukataka kuona upinzani unaimarika?MMechelewa kamanda
Nani ataleta fyoko bila ya mzee kujulishwa?ameshasema chadema sio tena chama cha uanaharakati,sasa ni chama cha siasa
Tulieni mpo katika kipindi cha mpito,mtazoea kuwa wanasiasa,si unaona Lema katoswa,anayea ndoo?kuhamasishana kote kule muende mahakamani,wamejitokeza watu kiduchu sana.Dhambi ya kumsaliti na kumtukana Dr.Slaa inawaandama
Una akili kweli wewe!?Mdomo huo huo unaokuaminisha kuwa wabunge wa CCM wamekula mgao wa milioni 10 ndio huo huo ulikuwambia kwa miaka nane kuwa Lowassa ni fisadi.Kwani zile milioni kumi kwa kila Mbunge wa ccm umejua mwekiti wako kapata ngapi?
Tuleteeni 50m mlizotuahidi, hatuoni mnachfanya zaidi ya kujipaka usaha wa majipu yenu.Wewe tia tu unafiki lakini nakuambia malipo hapa hapa Duniani
Watu wana ulemavu wa kudumu, watu wanagawana pesa alafu mnatuambia kubadili gear sijui crutch angani
Ile ni laana na hakika kitachofuata ni kilio na kusaga meno
Siku hizi ukisema ukweli utaitwa kijana Wa Lumumba ccm. Chadema wamekuwa kama mazombi Fulani hivi!! Na bado dhambi ya kumtukana Dr. Slaa itawatafuna na vizazi vyenu vyote. Watu wamefungwa na kupoteza maisha kisa chadema Leo mnakuja na utetezi hovyo hovyo kisa mmeuza chama. Watu wakiongea ukweli eti mnawaita buku 7? Shit!!!
wapi nimetaka muimarike?Wewe gamba ni mnafiki tangu lini ukataka kuona upinzani unaimarika?
Maneno kama haya ya kwako yalitumiwa na Hilary clinton kwenye kampeni dhidi ya Trump.Una akili kweli wewe!?Mdomo huo huo unaokuaminisha kuwa wabunge wa CCM wamekula mgao wa milioni 10 ndio huo huo ulikuwambia kwa miaka nane kuwa Lowassa ni fisadi.
Vipi hadi leo unaamini kuwa Lowassa ni fisadi?
Lazima tukubaliane Mwenyekiti ameishiwa Pumzi ni wakati sasa wa kutafuta mbadala wake
Hapa ndo pa kuanzia, nose dive ya chadema ilianzia hapa, na haitageuka mpaka majinga yaachie chama!Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Dhambi kubwa ni ile ya kujifanya kumlilia Sitta mkimwita mzarendo kinafiki huku mlitaka kumvua uanachama Wa ccm mkidai anakivuruga chama cha mafisadi.Siku hizi ukisema ukweli utaitwa kijana Wa Lumumba ccm. Chadema wamekuwa kama mazombi Fulani hivi!! Na bado dhambi ya kumtukana Dr. Slaa itawatafuna na vizazi vyenu vyote. Watu wamefungwa na kupoteza maisha kisa chadema Leo mnakuja na utetezi hovyo hovyo kisa mmeuza chama. Watu wakiongea ukweli eti mnawaita buku 7? Shit!!!
Kwa hiyo kama wenye madaraka hawajamfunga basi ndio mwarifu anageuka kuwa msafi? Kwa hiyo kama hiyo ndio hoja then wabunge wa CCM obvious ni wasafi basi!Wenye madaraka mmeshindwa kumshitaki na kumfunga?
kijana mimi sio mwana chama wa ccm na wala sijawahi na sikuthubutu kumlilia Sitta aliyevuruga katiba ya Watanzania. pitia comment zangu zote hutaona hata siku moja niliwahi kuishabikia ccm. Shida chadema ya sasa wamebaki wapiga dili na wanachama wa hovyo hovyo kama wewe bendera fuata upepo au chadema wasaka tonge.Dhambi kubwa ni ile ya kujifanya kumlilia Sitta mkimwita mzarendo kinafiki huku mlitaka kumvua uanachama Wa ccm mkidai anakivuruga chama cha mafisadi.
Mnadhani sisi tunasahau Kama madhombi ninyi ya Lumumba.
Sijui hata kama umesoma na kuelewa nilichoandika. mkuu mimi sio ccm, mimi sina muda wa kushabikia siasa za hovyo hovyo. chadema na ccm wote ni walewale tu.Mmegawana kumi kumi dom saa hizi mnaachia mashuzi ya kunde sio??
Ukisema "usiku na mchana havifai" tiba yako ni ngumu kuitamka hadharani, maana ugonjwa umetopea maungoni mwako.Sijui hata kama umesoma na kuelewa nilichoandika. mkuu mimi sio ccm, mimi sina muda wa kushabikia siasa za hovyo hovyo. chadema na ccm wote ni walewale tu.