Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Baadhi ya wanasiasa wanapowakataza wananchi kuchangia baadhi ya michango huko kwenye majimbo nilikwa siwaelewi. Ila sasa baada ya michango ya Kagera kutafunwa na waathirika kuambiwa watajijua wenyewe nimeamini.
 
Nawasikitikia sana wanaowalipa hawa jamaa kuposti vitu vya hovyo namna hii.
Hata kama fedha ya Ruzuku haina jasho lakini sio kwa aina hii ya post.
 
Mnahangaika hadi mnatia huruma!!!!

Fanyeni tathmini, hii makitu haiwaleteeni tija.

Ingekuwa heri mwenyekiti wenu angeenda bukoba hata asingeongea kitu ingesaidia kuliko mnavyogaragara kwenye matope namna hii.
Wewe tia tu unafiki lakini nakuambia malipo hapa hapa Duniani
Watu wana ulemavu wa kudumu, watu wanagawana pesa alafu mnatuambia kubadili gear sijui crutch angani
Ile ni laana na hakika kitachofuata ni kilio na kusaga meno
 
Imetabiliwa kuwa kama Mwenyekiti wa Chama X atajiona yeye Y akaamua kutafuna pesa za Wahanga wa tetemeko la KAGERA, basi uwezekano wa yeye kutoifikia year 2020 ni MKUBWA mno na dalili zimeanza kujionyesha wazi.Hii misiba ya viongozi inavyoendelea ni dalili za msiba wa kiongozi MKUBWA Uko njiani unakuja.Stay tuned.Mvua kubwa cku zote huanza na manyunyu.
 
MMechelewa kamanda
Nani ataleta fyoko bila ya mzee kujulishwa?ameshasema chadema sio tena chama cha uanaharakati,sasa ni chama cha siasa
Tulieni mpo katika kipindi cha mpito,mtazoea kuwa wanasiasa,si unaona Lema katoswa,anayea ndoo?kuhamasishana kote kule muende mahakamani,wamejitokeza watu kiduchu sana.Dhambi ya kumsaliti na kumtukana Dr.Slaa inawaandama
 
Ukiwa ccm huwezi kujenga hoja. Utaishia, kuokoteza maneno ya kwenye vigiwe vya kahawa
Ndio kawaida yenu kumnasibisha mtoa hoja na CCM ili kupoteza Credibility ya mtu.
Mbinu hiyo haisadii turudi kwenye mstari ndugu
 
Mleta bandiko mm nakupongeza kwa bandiko lenye ukweli halisi. Lakini utatukanwa na kuitwa buku 7 na mambo ya Lumumba. Mimi nasema na nitaendelea kasema Dr. Slaa aliondoka na Chadema halisi. Wamebaki wapiga dili na wachumia tumbo tu kama ccm. Tz hakuna chama cha upinzani tena, wote wanatafuta mkate Wa kila siku. Inauma sana sana kwa chama nilichokiamini.
 
Siamini kabisa katika kuhongwa na hii hoja ya kuhongwa naiona ni propaganda tu ila ninachokiona ni kupungua kwa jitihada na harakati za kisiasa ndani ya chama kutoka na mambo mawili.

Mosi,utawala huu mbovu unaokandamiza demokrasia ya vyama vingi na ku-harass wapinzani.

Pili, inawezekana ni kwasababu uchaguzi bado uko mbali hivyo viongozi nao wameamua kupunguza kufanya shughuli za kisiasa na kukijenga chama wakisubiri uchaguzi ukaribie.
 
Isingekuwa Lowasa kuhama ccm mgekuwa mnaongea nini? Maana kwa sasa ndo ajenda yenu kuu .
 
Mmegawana fedha za wahanga Kagera kama njugu pale Dodoma tena kwa Kusaini , Leo hii mnajifanya mna huruma.
 
Kwa mazingira ya sasa ya uongozi wa 'SIZONJE' vifo vya vya siasa siyo habari ya kushangaza. Watu wameelekeza 'matumaini' yao kwa Rais ambaye wana amini ni very exceptional, bado hawaoni ni kipi wapinzani walitaka ila rais hakifanyi (agenda kubwa zote).

KADA
 
kwanza siyo kuhaga dunia ni "kuaga dunia" rudi kwanza dalasani ukajifunze kiswahili ndiyo urudi hapa kutoa huu uhalo.
 
Ile kitu ikitumika hua inawasha sana na tiba yake kukunwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…