Olengambunyi
Member
- Jun 17, 2011
- 39
- 0
ha ha ha nahisi umeona labda utaungwa mkono kapewe kadi ya kijani mkuu tangulia labda tutakukuta asee,Mmmh! Nahama chadema.
Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.

Ha ha ha ha nimecheka sana uliposema, "Labda ulemavu wa huyu Shoree, unaujua Mbowe mwenyewe" maana hauonekani kwa macho!Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
![]()
Na anavyowapelekesha hakuna humu hata mmoja atakayejaribu kulaani kitendo hiki,sana sana watashuka na matani ya matusi kwa mleta uzi huu! Ndio maana wakaitwa "Misukule".Mmmh! Nahama chadema.
Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.
Hiyo ilikuwa nafasi maalum kwa walemavu, we vipi?haya ni majungu.....kwa hiyo kama aliyeteuliwa alikuwa mlemavu lazima aingie mlemavu? basi twende na kabila na hata dini yake
hahahaMmmh! Nahama chadema.
Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.
Umeongea maelezo marefu ila nasikitika kusema kuwa hujui utaratibu. Yaani umekurupuka kuandika.Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
![]()
Mkuu acha kuwasingizia NEC, wao wanachofanya nikuchukua jina kulingana na list iliyopelekwa na chadema.Kwanza ieleweke kuwa Mbunge huyo hajateuliwa na Chadema bali na NEC. Wagombea wa Viti maalum kutoka kila chama hupelekwa NEC kabla hata ya kufanyika uchaguzi Mkuu, baada ya hapo NEC huteua idadi ya wabunge wa Viti maalum baada ya kujua wabunge wa majimbo walioshinda kwa kila chama. Inapotokea mbunge wa Viti maalum anakufariki au anakosa sifa za kuwa Mbunge kama ilivyokuwa kwa Sophia Simba, NEC inateua Mbunge wa kuziba nafasi kutoka ktk orodha ya wagombea waliokuwa wamebaki.
Soma post za waliokutangulia kabla hujakurupukaHivi mtu kuteuliwa ubunge anateuliwa na mwenyekiti? Mbowe kweli mwamba. Anawatesa wachumia tumbo balaa.
Matusi ya nini nyie machadema?Upumbavu wa hali ya juu sana huu wa kumuhusisha Mbowe na kila kitu bila hata kujua ukweli. Kama kitu hujui basi ficha upumbavu wako.
Uteuzi huwa unafanywa na NEC kulingana na list ya majina yaliyokuwa yamepelekwa huko kulingana na mpangilio uliopo. Baada ya uchaguzi mkuu chama kinaweza kuwa kimepeleka majina 50 lakini kikaonekana kinastahili 20 tuu hivyo yanapitishwa mpaka namba 20 basi.
Inapotokea kifo au kujitoa mmoja wapo basi jina namba 21 ndio Tume wanalopitisha hapo Mbowe anahusikaje? Kwahiyo unataka kusema Mch Lwakatare jina lake limepelekwa na Magufuli? Acheni unaa
NEC hawawezi kutoa majina hewani lazima watumie orodha iliyotumwa na chama husika, kama kigezo ni kuchagua mlemavu NEC wangeangalia jina la mlemavu au kuiagiza Chadema ipeleke jina la mlemavuMkuu acha kuwasingizia NEC, wao wanachofanya nikuchukua jina kulingana na list iliyopelekwa na chadema.
Sasa ikiwa jina la catherine lingekuwa halifuati ktk list hiyo baada ya lile la dr macha (R.I.P) basi NEC nao wasingempa viti maalum.
kitu hicho kinaliwa na ubunge kinapewaDhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
![]()
Weye ndo hujanielewa. Leta hela upate tuition ya nilichoandikaSoma post za waliokutangulia kabla hujakurupuka
mpuuzi mkubwa wewe,unataka ujue kila ulemavu wa mtu,haya basi uko kwenye KKK, una jingine.Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
![]()
kitu hicho kinaliwa na ubunge kinapewa