johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Kwani alimzuia kugombea ubunge 2015?Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu
2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea ubunge
2015 baada ya Dr Slaa kufanya kazi kubwa kiasi cha kukubalika na wananchi kwa 85% Mbowe akaenda CCM kumkodisha Lowassa na kumtupa nje Dr Slaa
Wakati wa kampeni mzee Lowassa anaongea ndani ya Kanisa kwamba 2015 ni zamu ya.dhehebu fulan lakini ulipofika uchaguzi akapigwa chini ma Mseminari shujaa Maguful
Je, Mbowe ni CCM kama anavyotuhumiwa Mbatia?
Kwanini nyie CCM msimpe agombee 2025?Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu
2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea ubunge
2015 baada ya Dr Slaa kufanya kazi kubwa kiasi cha kukubalika na wananchi kwa 85% Mbowe akaenda CCM kumkodisha Lowassa na kumtupa nje Dr Slaa
Wakati wa kampeni mzee Lowassa anaongea ndani ya Kanisa kwamba 2015 ni zamu ya.dhehebu fulan lakini ulipofika uchaguzi akapigwa chini ma Mseminari shujaa Maguful
Je, Mbowe ni CCM kama anavyotuhumiwa Mbatia?
Alijua hana mvuto tena KaratuKwani alimzuia kugombea ubunge 2015?
Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu
2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea ubung...
Nchi inaweza kumuua mwananchi ili ilinde usalama wa wananchi ajabu nini?Swali lako ni la kichokozi tu?.
1. Wakati Mbowe anatumiwa Sahbaya akamshughulikie Hai, mpaka kuunda kundi la kuzomea mikutano ya Mbowe, mbona hukuuliza Kama ni CCM.?.
2. Wakati Mbowe amevamiwa na Byakanwa Mkuu wa Wilaya kabla ya Sabaya, na kuharibu shamba lake mbona hukuuliza Kama ni CCM?. Na kitendo Cha Byakanwa kuharibu shamba la Mbowe kikapelekea kupewa ukuu wa Mkoa Mtwara.
3. Wakati Mbowe anabomolewa Bilcanas yake na serikali mbona hukuuliza Kama ni CCM ?.
4. Wakati Mbowe anafukuzwa kwenye Jengo la NHC mbona hukuuliza Kama sio mwana CCM.?
5. Wakati Mbowe anafunguliwa kesi ya ugaidi na Rais kuongea hadharani kuwa alikimbia nchi kwa kuogopa kukamatwa. Na Wana CCM wote kugeuka na kuanza kumwita gaidi, kipindi hicho hakuwa Mwana CCM.?
Tuache maswali yasiyokuwa na mantiki baadala ya kuangalia uhalisia. Mbowe angekuwa CCM leo usingeuliza hilo swali lako maana ingekuwa wazi kabisa lakini kwa sababu sio CCM umeamua kuuliza hili swali.
Uhuni mtupu
Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu
2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea ubunge
2015 baada ya Dr Slaa kufanya kazi kubwa kiasi cha kukubalika na wananchi kwa 85% Mbowe akaenda CCM kumkodisha Lowassa na kumtupa nje Dr Slaa
Wakati wa kampeni mzee Lowassa anaongea ndani ya Kanisa kwamba 2015 ni zamu ya.dhehebu fulan lakini ulipofika uchaguzi akapigwa chini ma Mseminari shujaa Maguful
Je, Mbowe ni CCM kama anavyotuhumiwa Mbatia?
Nchi inaweza kumuua mwananchi ili ilinde usalama wa wananchi ajabu nini?
Mbowe ni mzee wa kitengo kama ilivyo kwa wenyeviti wenzake wa upinzani waliomtangulia. Ni jamii ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba, Mbatia nk. Isipokuwa Mbowe kawazidi ujanja waliomtangulia, kwani yeye amefanikiwa kujiongeza kwa kutumia fedha za chama kama vile ruzuku kuunda kundi la chawa mitandaoni ili limpiganie kuficha ushiriki wake katika kitengo hicho.