Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

Mbowe anafanya msilale, poleni saana...
CHADEMA ipo mikononi kwa vijana hii mizee mizee yenu wacha iende!!

Anategemea CHADEMA itayumba hana ufahamu na hajui siasa.
 
Basi msijifiche kwenye giza kumchafua mtu. Mbowe ni mtu na usiuharibu utu wa mtu kwa maneno yasiyo na mashiko. Niseme wazi, mimi sina uhusiano na Mbowe ila sipendi siasa za maji taka kabisa
Unazungumzia kuchafuka. Watu wameuwawa kwa ajili ya mabadiliko CHADEMA Iiliyohubiri. TUNDU Lissu kapingwa Lisasi alafu Mbowe anasema CHADEMA is his personal project.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia kuchafuka. Watu wameuwawa kwa ajili ya mabadiliko CHADEMA Iiliyohubiri. TUNDU Lissu kapingwa Lisasi alafu Mbowe anasema CHADEMA is his personal project.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sijui mnatokeaga kupiga ulabu ndomnakuja kuvamia hoja. Nimesema JF ni sehemu ya ma GT. Tupe facts au data sio kusema tu hovyo kuwa Mbowe kasema. Weka clip hiyo
 
Dhulma hajawahi kushinda haki. Haki ya Chacha Wange na hoja za Chacha Wangwe. Hatimaye imeibuka 2020. Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajipigia upatu mwenyewe kwenye Uzi uliouanzisha mwenyewe? Au wachangiaji wamekushtukia kuwa umetumwa mithili ya jini kuja kuharisha ujinga wenu na huyo msaliti anayesubiria nauli baada ya kulipwa posho? Sijawahi kuona muuru mwenye akili tangu nizaliwe! Komu ni komwe lisilo na akili! Hii Vita mtaikimbia na kupoteana! Mbowe anakwenda kuhesabika Kama shujaa yaani zaidi ya mangi Sina ambaye aliukataa unafiki!
 
Back
Top Bottom