Mpiga dili ni mwenyekit wenu ccm na mtakunya mwaka huu mmegundua kuwanunua viongoz wa chadema imewavuluga mmeamua kufanya maigizo kwa nccr by the way subiria uchaguz ndo utajua chadema ni nani.Haha. Mabadiliko yanarudi nyumbani yalikoanzia NCCR Mageuzi. Huyu mpiga deal za kisiasa 2020 ndo mwisho wake. Same ni Usambaa
Sent using Jamii Forums mobile app