Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

Ukiona Siri za chumbani zikitoka nje, ujue kuna Jambo moja tu, Baba mwenye Nyumba kashindwa kumudu majukumu yake,

Hapa tuendeleeni kufarijiana,
 
Unazungumzia kuchafuka. Watu wameuwawa kwa ajili ya mabadiliko CHADEMA Iiliyohubiri. TUNDU Lissu kapingwa Lisasi alafu Mbowe anasema CHADEMA is his personal project.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe punga kumbe umejiunga JF Leo ili kuja kumshambulia Mbowe tuu?
Umelipwa kiasi gani kuja na upuuzi huu? Ujinga wa aina hii mwisho utaambulia matusi tuu, marabuk!
Screenshot_20200330-220337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined Today at 1:16 PM

Natangaza hadharani kukudharau moja kwa moja kwa kipindi chako chote hiki kifupi ulichosaliwa nacho hapa duniani , hata kama kitamalizika wiki ijayo
 
Joined Today at 1:16 PM

Natangaza hadharani kukudharau moja kwa moja kwa kipindi chako chote hiki kifupi ulichosaliwa nacho hapa duniani , hata kama kitamalizika wiki ijayo
Mshale umewangia mnataka mtie presha kama mliyomtia Mzee Ndesamburo. Haha niishie hapo au niendelee sima ng'oo niendelee issue ya Ndesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieko karibu na mbowe amfikishie ujumbe huu " heshima nilionayo kwako ni ya kiwango cha juu sana umepitia mengi kamanda wetu mpendwa mungu aendelee kukupa nguvu" #nofear no hate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom