Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

Hufanyi vyema kuongeza upuuzi wako kihivyo. Tunataka data sio uabunuasi hapa JF. Hapa JF ni kwa ma GT hivyo ukija hapa mwaga data. Data hazidanganyi. Unaposema fulani kaiba mapesa wataka kutufahamisha nini?

Tumesikia huko Arusha, Muller kalipo fine ya Tshs 20m au aende jela miezi 6. Hizo ndio data usilete maneno matupu hapa. Sema Mbowe kaiba Tshs 1000 sio kusema kaiba hela. Hizo ni siasa za maji taka. Ajitokeze huyo mfanyibiasha aseme alikichangia chama Tshs 100 mwaka 20..Sio kusema tu kuwa ameiba michango.

Huyo mbunge wa Moshi mjini kwa vitisho vyote kwenye biashara zake kwa nini asikubali kufikia bei?? Mwambie afike salalama
Anaefikiri jafari anaenda ccm,hizo ni fikra zake,sio za jafar maiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kujiandikisha kupiga kura na kupinga mstari kupiga kura bila ata kupokea chochote kutoka kwenye Chama au mgombea?
 
Hivi wanamichezo nao wanauana,vuziana au kukataza wapinzani wao kushabikia timu zao? Kusomea ujinga ni kosa

Huko kwenye michezo kuna ushirikina mwingi, na hujuma za kila aina. Wanachokosa kwenye michezo ni nguvu ya vyombo vya dola basi, kinyume na hapo hayo yanayoendelea kwenye siasa, yangekuwa michezoni pia.
 
Tangu jana jumapili tarehe 29.03.2020. Mwanamageuzi mkongwe zaidi alikuwepo CHADEMA Bw Komu (Mb) Moshi Vijijini. Kutangaza kuwa mwaka 2020 atakihama chama chake cha cha sasa CHADEMA na kuhamia NCCR Mageuzi chama chake cha zamani Mara tu baada ya kipindi chake cha ubunge kukamilika mwezi July 2020.

Tamko la Mh Komu limeonyesha dalili za wabunge wote wa mkoa wa Kilimanjaro wa CHADEMA ukimtoa Mh Mbowe (Mb) kuwa na nia ya kuhama Chadema.

Ikumbukwe uchaguzi mkuu 2015 CHADEMA ilishinda majimbo Matano. NCCR Mageuzi Moja CCM Mawili mkoani Kilimanjaro.

Kati ya majimbo matano walioshinda CHADEMA, jimbo moja mbunge alirudi CCM kwa hoja za kuona Mh Mbowe ni mbadilifu wa fedha za chama akaamua kuunga juhudi za Rais Magufuli.

Hapo wakabaki wabunge Wanne. Kati ya hao wanne watatu wamekuwa wakitajwa kupinga uongozi wa Mbowe ndani ya CHADEMA.

Hao watatu ni Mhe Selasini (Mb) Rombo, Mh Komu (Mb) Moshi V, Mh Michael Mb Moshi M.

Hoja yangu katika tafakuri hii ni kwa nini Mh Mbowe amekataliwa nyumbani na wachaga wenziwe na nchi hii kunakasumba wachaga hawatupani?.

Katika kufutilia kwangu nimejilidhisha si wabunge tu wa Kilimanjaro ni hadi wafanyabiashara wa mkoa huo ambao kwa muda mrefu wamelea chama cha CHADEMA, kwa sasa hawataki kuendelea na sarakasi za Mbowe.

Taarifa za kina zinataja hadi maaskofu wa KKKT na Roman Catholic pia wamekatishwa tamaa na ubinafsi wa Kamanda huyu wa Aga A.k.a Mwambwa Tuvushe.

Mh Mbowe amekataliwa na watu wa Kilimanjaro kwa hoja moja tu ya kupiga hela wanazochanga kuwezesha harakati za Chama hicho.

Taarifa ni kwamba Mbowe amekua akipewa fedha afikishi na akifikisha anasema amekikopesha CHAMA. Baada ya kampeni anaomba alipwe madai yake kutokana na luzuku kinayopata chama.
Kila kampeni ikiisha CHADEMA hujikuta kinadaiwa Mabilioni ya hela eti Mbowe akikopesha chama.

Baada ya matajiri wengi kujilidhisha michango yao haipo kwenye kumbukumbu za fedha sasa ndiyo wanawasukuma wabunge wa upinzani kutoka CHADEMA kwenda NCCR Mageuzi kuendelea na harakati za ukombozi wa taifa.

Kama ulisikiliza tamko la Mh Komu kwa umakini kuna mahala alisema nanukuu... "Maamzi haya si yangu peke yangu nimekuja na ndugu zangu toka jimboni wengine ni wafanyabiashara tu si wanasiasa akiwemo kaka yangu ninae mfuata kwa mara ya tatu"

Rai yangu.
Chadema ni wakati wa kuchagua kutosa wabunge na wafanyabiashara wanounga mkono chama au kutosa Mwenyekiti Mh Mbowe.

Asante.
Wenu
Joyce Nkya.
Mwanachadema anaefikira kuhamia NCCR Mageuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahame tu kwanza tuko busy na corona wengine kumbe mko busy na ubunge?
 
Utakua umekula maharage mabovu unaharisha kutumia mdomo,ccm haina chake inategemea nguvu za policeccm ishinde,meko hajawahi kua na akili za ben au jk yeye ni kilaza kma wewe au kabudi

Wewe ndiyo wetu Dada joy?? Ndomana unamambo ya 'kitoto' mablaki amerika wanasema kibeibe beibeee
 
Back
Top Bottom