Mbowe akataa pesa za wamiliki wa Dowans

Mbowe akataa pesa za wamiliki wa Dowans

Rais bogus, Wapinzani bogus na wananchi bogus>
Kwani si tunaambiwa na hao kina Mbowe kuwa kampuni haina mwenyewe sasa amewajuwaje kuwa ndio wanaotaka kumpa pesa. Cheap politics!
Mwaka huu mtatapatapa sana ,hamna sera yamebaki matusi ndani ya midomo yenuHamtofautiani na public toilets.haibu.
 
Mbowe atoe ushahidi kama aliletewa mkwanja akaukataa,ili watu wasipinge kwakujua itakua nimaneno yakisiasa,kama nikweli wamekataa pesa mbowe atakua shujaa,ila sifikirii pia kama mbowe anaweza kukataapesa,angekula na akaendelea kuwaumbua tu mpk kieleweke.
Takukuru wenyewe pamoja na kupewa resources zote wameshindwa kutoa ushaidi hata mmoja, unategemea Mbowe atoe wapi wakati amekwambia pesa alizikataa.
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu

ili mradi u-bogus huo unawapa shda sie hatuna neno nae! Ila jua kwmb cxx mpo ICU tangu mwaka hu uanze!
 
Babuu, aisee, hivi kuna mchaga anakataa fedha? Hizi fedha, ninazozijuwa mimi. Huyo hana sera. Kama siasa sera ni Dowans basi naona ameishiwa. mungu walai ameishiwa.
 
Sikujua ndani ya Jf kuna mamluki kiasi hiki,MBOWE yupo juu kuliko kiongozi yeyote wa Ccm,eleweni Mbowe ameridhika na Maisha nd anataka kuwasaidia watanzania masikini.CDM hakuna kiongozi asiye na akili timamu,hakuna wezi,Mnaobeza Ccm inawalipa pesa ya bure tuu.
 
Babuu, aisee, hivi kuna mchaga anakataa fedha? Hizi fadha, ninazozijuwa mimi. Huyo hana sera. Kama siasa sera ni Dowans basi naona ameishiwa. mungu walai ameishiwa.
Kwa vile wewe unalipwa na mafisadi basi unafikiri kila mtu ananunuliwa.
 
I gues umechanganyikiwa! Yan hauna jipyaa! Iv kwa cxx mnalalamika ivo! Si hatuna shda na ubogus huo nyie ndo inawapa shda! Na bado, kumbuken bado maandamano Arusha, mbeya na Dar hajaanza, vp yakianza napo si mtakufa na huo ugonjwa wenu wa kaharus? Polen sn bt tulien mnyolewe!
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu

Yaani inasikitisha sana, kwamba aliyesemwa ni Dowans lakini linajitokeza kichwa maji moja linakanusha. waache Dowans wakanushe na nijuavyo mimi kama amewasingizia hii ishu lazima watai-table mahakamani
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu
Kwa maana yako ni watu wa CCM tu ndio wanaohongeka safi sana sikulijua hilo.
 
Back
Top Bottom