Mbowe akataa pesa za wamiliki wa Dowans

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Akiwahutubia maelfu ya waandamanaji katika mji wa Biharamulo leo Mh. Mbowe amesema, wamiliki wa mitambo hewa ya Dowans wamejitokeza wakimshawishi kumpatia fedha kwa njia ya rushwa ili Chadema isiendelee kufichua madhambi ya uhujumu uchumi unaofanywa na Dowans, kwa madai kuwa maandamano yanayofanyika hivi sasa yanaweza kusababisha serikali isilipe deni la Dowans.

Source: ITV saa 2.

Sikiliza kuanzia dkk ya 9:20
 
Last edited by a moderator:
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu
 
U-bogus wake haufikii ubongo uliovia wa JK & Co.
 
teh teh teh!wewe kweli technology...fikra zako zimekaa ki-photoshop photoshop hivi bah!
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu

kati ya al adawi na rostam nani ni mumeo...? maana roho inakuuma sn DOWANS ikizodolewa... mkuu vp?
 
Akiwahutubia maelfu ya waandamanaji katika mji wa Biharamulo leo Mh. Mbowe amesema, wamiliki wa mitambo hewa ya Dowans wamejitokeza wakimshawishi kumpatia fedha kwa njia ya rushwa ili Chadema isiendelee kufichua madhambi ya uhujumu uchumi unaofanywa na Dowans, kwa madai kuwa maandamano yanayofanyika hivi sasa yanaweza kusababisha serikali isilipe deni la Dowans.

Source: ITV saa 2.
nakubali ,saivi mavi yanagonga chupi.
 
Mbowe atoe ushahidi kama aliletewa mkwanja akaukataa,ili watu wasipinge kwakujua itakua nimaneno yakisiasa,kama nikweli wamekataa pesa mbowe atakua shujaa,ila sifikirii pia kama mbowe anaweza kukataapesa,angekula na akaendelea kuwaumbua tu mpk kieleweke.
 
U-bogus wake haufikii ubongo uliovia wa JK & Co.
Rais bogus, Wapinzani bogus na wananchi bogus>
Kwani si tunaambiwa na hao kina Mbowe kuwa kampuni haina mwenyewe sasa amewajuwaje kuwa ndio wanaotaka kumpa pesa. Cheap politics!
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu

Anatafuta umaarufu upi wakati tayari yeye ni maarufu hata fisadi JK hamfikii? JK mwenyewe analijua hilo sembuse wewe?
 
Rais bogus, Wapinzani bogus na wananchi bogus>
Kwani si tunaambiwa na hao kina Mbowe kuwa kampuni haina mwenyewe sasa amewajuwaje kuwa ndio wanaotaka kumpa pesa. Cheap politics!

unaishi taifa gani? Mbona cdm kila mara wanatutajia jk,rostam nk. Au masikio kwa pamba? Jk ndo alisema hamjui al aldawii.
 
mbowe ni Bogus na mbumbumbu nani amtafute kumpa hela???? kama hela wangepewa akina sitta, kilango, selelii,mwakyembe.... anatafuta umaarufu
You the one who is bogus,i wish you knoe the situation very well.Mboye Kanyaga twende,kwani tulimuona huyo anayejiita Mkurugenzi.
 
Back
Top Bottom