D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,989 Jan 23, 2025 #1 TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,989 Jan 23, 2025 Thread starter #2 Kichwa Cha habari ni "AJISHUGHULISHE"
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,905 Reaction score 870,891 Jan 23, 2025 #3 DATAZ said: Kichwa Cha habari ni "AJISHUGHULISHE" Click to expand... 😂😂 una haraka mpaka unakosea heading.. Lissu kawaweza kwelikweli
DATAZ said: Kichwa Cha habari ni "AJISHUGHULISHE" Click to expand... 😂😂 una haraka mpaka unakosea heading.. Lissu kawaweza kwelikweli
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,905 Reaction score 870,891 Jan 23, 2025 #4 DATAZ said: TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa. Click to expand... Ngoja nikupe elimu kidogo DATAZ Huyo ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu.. ni nafasi kubwa ndani ya chama ambapo atahitajika kwenye mambo mengi sana
DATAZ said: TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa. Click to expand... Ngoja nikupe elimu kidogo DATAZ Huyo ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu.. ni nafasi kubwa ndani ya chama ambapo atahitajika kwenye mambo mengi sana
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,814 Reaction score 19,055 Jan 23, 2025 #5 Ni kids muafaka awape wanafamilia wake muda Hatajuta
Papaah JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,939 Reaction score 4,339 Jan 23, 2025 #6 Na ni mara mia ushirikishwe wewe ikibid.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,617 Reaction score 103,487 Jan 23, 2025 #7 DATAZ said: TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa. Click to expand... Yes, L:isu ni adui wake mkuwa na wala si Mshindani wake. Yule ni Nyoka ndumila kuwili! Erythrocyte
DATAZ said: TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa. Click to expand... Yes, L:isu ni adui wake mkuwa na wala si Mshindani wake. Yule ni Nyoka ndumila kuwili! Erythrocyte
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,830 Reaction score 12,587 Jan 23, 2025 #8 bado munamuogopa mwamba?