Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Ushauri wangu kwa Chama aka CCM.
HIZI TAARIFA ZIWE ZINAPRINTIWA HALAFU ZINAGAWIWA KWA WATU WOTE, MJINI NA VIJIJINI ILI HILI FISADI LIKOSEA KURA KWA KIASI CHA MAFURIKO.

HEKA HEKA CCM, HAKIKISHENI HIZI TAARIFA ZINAFIKA KIJIJINI KABISA. NDO DAWA YA HILI FISADI NA NGO LA CHADEMA.
 

kinyambiss I salute you. Sijui upo hai? Darubini yako iko vizuri sana. Ni watanzania wachache sana wanaoweza kuona mbali kama wewe. Ndo maana siku hizi wamedanganyika na fisadi na mpiga pesa.
 
Thread 31 March 2011,leo
August 2015 lisemwalo lipo! Na kama halipo usilale wee kaa macho utaliona likija!
 
Duh. Kuna ambaye alisha wahi kuchangia uzi huu 2011? Ama wazee wa kitengo wame insert hii kitu?
 
Maana watu wa IT wanaweza fanya hizi mambo..mnakumbuka mambo ya mapanga ya CUF siku mbili kabla ya uchaguzi
 
Ni genius jamaaa huyu mbowe,maana kamfanya banian kiatu chake kiuzwe dolali nyingi,aise ila uwezo wa kucheza na mind za watu mbowe kiboko,lakini sina hakika kama atadanganya taifa zima labda ukawa tu tehetehe
 
Nyumbu au wale misukule hawawezi kuelewa haya,, ni waelevu tu ndio wanaweza kufikili hapa,, ZZK aliitwa msaliti na nyumbu wengi bila kujua lakini hiyo ndio CDM aka wazee ufipa...
 
El amezungumzwa sana kwa hizi tabia zake toka siku nyingi sana, hatuwezi kuwa na President wa namna hii kwa JK inatosha..
 
Duh. Kuna ambaye alisha wahi kuchangia uzi huu 2011? Ama wazee wa kitengo wame insert hii kitu?

Wewe ni mgeni JF??? mbona huu uzi upo toka enzi hizo,,, mbona pia kuna watu wamechangia 2011**
 
Nashukuru wakongwe wa JF ndo wanachangia uzi kwa weredi zaidi! CDM siyo chama kabisa!

Nı wazı Chadema baada ya kumbwaga Slaa na kununuliwa na Lowasa si Chama cha siasa.Ni kıkundi cha akına Mtei na Mbowe kwa maslai yao binafsi.Zito kwa kiasi flani ana akıli.
 
rumours are made by haters of lowasa spread by fools and accepted by ------ ...mtoa maada yawezekana ni hater wa lowasa ama in fool anaesambaza hii kitu , msomaji angalia sana usije ukaamini huu upuuzi unless we ni idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…