CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Yaonyesha ulikuwa na maswali zaidi ya moja,Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuziwiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.
Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.
SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Hata Ungekuwa na kadi ya maisha kama hauaminiki usiote kuingiza upelelezi hapo!Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuziwiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.
Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.
SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Hana njaa mbaya hivyo kama hiyo yako!Anafanya harambee hayuko sawa kifedha, mkutano huo utakuwa wa wafadhiri wa chama waweze kumsaidia kama mwenyekiti.
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuziwiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.
Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.
SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Sawa lakini ushirikiano na wengine (Viongozi wa chini) ni jambo jema sana.Revolutionary ideas will never die.
Hapana Mkuu ni nyema kushirikishana katika kila hatua.Kwa hiyo unakuja kushiki ama unalalamika tu?
Peleka haya kwa Port ana mamlaka kisheria.
Kinanihusu kwakuwa na mimi ni Kiongozi ambapo hayo yanoyojadiliwa kama yanahusu maendeleo ya chama, utejelezaji wake utawaitaji Viongzi wa level ya chini kama mimi.sasa unamuuliza nani,?je kama hakikuhusu wewe je then unalazimisha kuingia au we mamluki?
Mkuu kumbuka kuwa utekelezaji wa hayo yanayojadiwa lazima viongozi wa chini kama mimi tutahusika, labda tu Agenda ziwe hazihusu chama!!!!Fanya Kazi watu wapo kazini wewe kama cheo huna una tafuta nini kwenye mkutano wa watu .........
Sifa huna lakini unataka udaku
NafaaYaonyesha ulikuwa na maswali zaidi ya moja,
kwa jibu tu la swali linaloonekana ni:
Sidhani kama wewe ni mwanaCDM wa ukweli, wanachama wanajua utaratibu wa vikao. Kwenda kwenye kikao huwa wanaenda kwa mwaliko hata kama utakuwa kiongzi ,sio vikao vyote utahusika. Tena umesema kiongozi wa ngazi ya shina,unajuaje kama kikao ni cha ngazi ya taifa? Kwanza kwenda kewnye kikao bila mwaliko ni kutaka kuleta fujo,wewe hustahili hata kuwa kiongozi. Jipime uone kama unafaa.
Harambee wakati hali ngumu?Anafanya harambee hayuko sawa kifedha, mkutano huo utakuwa wa wafadhiri wa chama waweze kumsaidia kama mwenyekiti.
Naaminika ndio maana nilipewa Uongozi wa Shina.Hata Ungekuwa na kadi ya maisha kama hauaminiki usiote kuingiza upelelezi hapo!
Mwanachama wa CHADEMA ana nini ambacho mimi sina mpaka useme sio mwan-CHADEMA?Ww c cdm we ni shushu tena ww ni hatari sana laiti ungekuwa gerezani ungeitwa nyampala.