Mbowe admits failure to declare assets

Mbowe admits failure to declare assets

Kishongo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
932
Reaction score
67
Gazeti la Mwananchi la leo limeandika kuwa Mhe Freeman Mbowe atasimamishwa katika Baraza la Maadili kesho 16 June 2011 ili kujibu tuhuma za kutowasilisha fomu zinazoonesha mali na madeni yake.

Huyu Mheshimiwa ni siku chache tu zilizopita aliionesha dharau kubwa kwa mahakama mpaka ikabidi aswekwe polisi. Serikali ililazimika kumpeleka mahakamani chini ya ulinzi makali kama mhalifu asiye wa kawaida.

Watanzania wanajiuliza;
a. Tunastahili kuwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni mtovu wa nidhamu kiasi hiki?
b. Kwa nini Mbowe anaogopa kutaja mali zake?? anaficha nini??
c. Chama chake kilikosa mtu mwingine wa kushika wadhifa huu wa heshma? ...Mbona Mhe Zitto Kabwe alitaka kugombea nafasi hiyo akakatazwa na ndugu zake Mbowe?
d. Wanaomzunguka kama Mhe G. Lema wanachangia katika kudidimiza nidhamu ya kiongozi huyu?

Dunia inaendelea kutucheka kwani kiongozi wa upinzani hatakiwi kuwa mhuni.
 
HUYU NDIO KIONGOZI TUNAYEMHITAJI TANZANIA, AMETUKUKA KWAKWELI
196514_196297573738009_100000733047937_565696_2633414_n.jpg
 
HUYU NDIO SHABIKI WA CCM BINAMU YAKE NA MS, JEY KEY NA KISHONGO
nguo.jpg
 
CCM a.k.a The Gambaz ni sawa na gari hili, hawana hoja, hawana mashiko sawa na gari hili
ujama.bmp
 
Kupotosha mada ni uhuni pia.
Haisaidii, sana sana mnamfanya kiongozi wenu kuwa 'habitual criminal'...kama hajafika huko tayari.
 
Kishongo,kama lilivyo jina lako.Bado baraza halijatoa maamuzi wewe unaanza kuongea bila data,
 
Gazeti la Mwananchi la leo limeandika kuwa Mhe Freeman Mbowe atasimamishwa katika Baraza la Maadili kesho 16 June 2011 ili kujibu tuhuma za kutowasilisha fomu zinazoonesha mali na madeni yake.

Huyu Mheshimiwa ni siku chache tu zilizopita aliionesha dharau kubwa kwa mahakama mpaka ikabidi aswekwe polisi. Serikali ililazimika kumpeleka mahakamani chini ya ulinzi makali kama mhalifu asiye wa kawaida.

Watanzania wanajiuliza;
a. Tunastahili kuwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni mtovu wa nidhamu kiasi hiki?
b. Kwa nini Mbowe anaogopa kutaja mali zake?? anaficha nini??
c. Chama chake kilikosa mtu mwingine wa kushika wadhifa huu wa heshma? ...Mbona Mhe Zitto Kabwe alitaka kugombea nafasi hiyo akakatazwa na ndugu zake Mbowe?
d. Wanaomzunguka kama Mhe G. Lema wanachangia katika kudidimiza nidhamu ya kiongozi huyu?

Dunia inaendelea kutucheka kwani kiongozi wa upinzani hatakiwi kuwa mhuni.

You are illogical, inconsistent na hii inaonesha huna hoja. We unatambua kabisa kuwa huyu ni mheshimiwa kama ulivyo taja hapo awali na chini ya uongozi wake CDM kimekifanya chama cha magamba kipoteze mwelekeo kabisa. Sasa hilo hitimisho lako la kumwita huyu mheshimiwa mhuni halina msingi zaidi ya kuonesha udhaifu wako katika kufikiri. Kajipange kwanza!
 
Gazeti la Mwananchi la leo limeandika kuwa Mhe Freeman Mbowe atasimamishwa katika Baraza la Maadili kesho 16 June 2011 ili kujibu tuhuma za kutowasilisha fomu zinazoonesha mali na madeni yake.Huyu Mheshimiwa ni siku chache tu zilizopita aliionesha dharau kubwa kwa mahakama mpaka ikabidi aswekwe polisi. Serikali ililazimika kumpeleka mahakamani chini ya ulinzi makali kama mhalifu asiye wa kawaida.Watanzania wanajiuliza;a. Tunastahili kuwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni mtovu wa nidhamu kiasi hiki?b. Kwa nini Mbowe anaogopa kutaja mali zake?? anaficha nini??c. Chama chake kilikosa mtu mwingine wa kushika wadhifa huu wa heshma? ...Mbona Mhe Zitto Kabwe alitaka kugombea nafasi hiyo akakatazwa na ndugu zake Mbowe?d. Wanaomzunguka kama Mhe G. Lema wanachangia katika kudidimiza nidhamu ya kiongozi huyu?Dunia inaendelea kutucheka kwani kiongozi wa upinzani hatakiwi kuwa mhuni.
usiwe unaandika kama unabanwa na mavi ,unaposti upepo tu! pumbavu mkubwa
 
CCM MNAKAZI. Hatudanganyiki!
 
Ni viongozi wangapi tangu sheria hii imeanza na hawajatekeleza? Kwa taarifa yako hata mkuu wa kaya hajatekeleza na anaongoza chama na serikali!
 
Muhuni mkubwa hatudanganyiki umetumwa na NAPE anayeongea utumbo muda wote,haya nenda kachukue posho kwenye ofisi za CCM kwa kazi uliotumwa kufanya.
 
Yaani kuna mijitu inatuma post humu bila kutumia akili yaani wao bola liende utafikiri wana ubongo wa plastic, mbowe ni zaidi ya umjuavyo mjusi wewe!! Yani inaonesha hutafuti habari umekaa kimtego mtego bila kuelewa.. Minyang'au mingine hovyooooooooooo!!
 
[TABLE="width: 100%, align: left"]
[TR]
[TD="class: kaziBody, align: left"]OPPOSITION Leader in Parliament and National CHADEMA Chairman Freeman Mbowe yesterday admitted failure to declare his assets for the year 2010 and begged for forgiveness when he appeared before the Ethics Tribunal in Dar es Salaam. Declaration of assets among leaders is an annual requirement stipulated by the Public Leaders Code of Ethics Act No. 13 of 1995. Mr Mbowe, who in his submission hailed the annual legal requirement as an important good governance practice, asked for forgiveness on grounds that there were ‘too many things’ happening around him at the time when he was obliged to fill in the forms and submit to the Ethics Secretariat before December 3, 2010. “We had just come from a general election last year and then I became Leader of Opposition in Parliament in addition to more responsibilities as national leader of my political party, among other tasks,’’ he prayed.

Mr Mbowe, who is also Hai MP, exuded total humility all the time he stood before the Tribunal, made of retired judges Damian Lubuva and Hamisi Msumi and retired permanent secretary Gaudios Tibakweitira, asking them to consider the circumstances surrounding him and forgive him. The Tribunal is hearing cases of over 29 public leaders who have been summoned for not complying with the law. The Act requires all high profile officials to declare their assets and liabilities before the public ethics secretariat at the end of each year.

Mr Mbowe, who is also a prominent businessman, stated that it was also difficult for him to fill in the forms under such circumstances, taking into consideration that he owns businesses in three different parts of the country. "I have businesses and residences in three different parts of the country and all need my attention. Had I filled in the forms swiftly, there was a likelihood of leaving out important information,’’ he pleaded.

The MP informed the Tribunal that he had filled in the forms after a notification from the Ethics Secretariat and returned them on June 14. In another appearance, Mbinga West MP (CCM) John Komba told the Tribunal that he had filled in the forms and returned to the ‘agents’ in charge of collecting the forms at the Parliament Buildings in Dodoma. He said he was shocked to see his name as one of those leaders who had not complied with the stated law. The same concerns were expressed by a councillor from Geita, Elias Okomu, who was summoned by the Tribunal for not filling in the forms during 2008/2009.

However, legal officers from the secretariat have maintained their stand in a number of cases, saying the lamenting public leaders should produce their evidences to substantiate their claims. Already, the Tribunal, appointed by President Jakaya Kikwete last year, has found some 11 public leaders guilty of non-declaration of their assets in the annual exercise and the offenders had already been strongly warned. Leaders found guilty face demotion, dismissal, retirement or order for criminal investigations if a particular case has elements of crime.

Daily News[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: kaziBody, align: left"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kesi zamchanganya Mbowe
Source: Mwananchi

Na Nora Damian

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, ameliambia Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kuwa, ameshindwa kujaza fomu za kutangaza mali zake kutokana na msongo wa mawazo.

Akihojiwa kwenye baraza hilo jana, Mbowe alisema tangu umalizike Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, amekumbwa na mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kesi mbalimbali ambazo zimemsababishia msongo wa mawazo na kumwathiri kifamilia.Alisema alifikishwa katika mahakama tatu tofauti, zikiwamo Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na Hai kwa tuhuma mbalimbali ambazo zimemsababishia msongo wa mawazo.

“Katika kipindi chote hicho nimekuwa kwenye mahakama tatu tofauti nikituhumiwa kwa mambo mbambali ambayo ni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na matokeo ya kazi yangu,”alisema Mbowe na kuongeza:
“Siilaumu Tume kwa lolote, naiheshimu sana na naheshimu kazi yao, niliona kuliko kujaza kwa makosa ni bora nichelewe kuileta,”alisema.

Mwenyekiti huyo wa Chadema alisema pia kutokana na mali na biashara alizonazo alishindwa kujaza fomu hizo kwa wakati kwa sababu ana makazi sehemu tatu na kote huko kuna mali zake.
“Naliomba radhi Baraza, ratiba yangu imekumbwa na mambo mengi sana. Mimi ni mbunge na ni kiongozi wa chama cha siasa hivyo, nilikosa utulivu wa kujaza fomu kwa wakati,”alisema.

Kapteni Komba adai jina lake limekatwa
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba amesema ameshangazwa kuitwa katika baraza hilo wakati yeye alijaza fomu na kuirejesha kwenye Ofisi ya Bunge.

“Sina mali za kutisha hadi niogope kujaza fomu, mimi nina vijihela tu kidogo kama Mtanzania mwingine wa kawaida,”alisema Komba na kuongeza kuwa:
“Nina marafiki wengi kama kina Bakili Muluzi wamenipa mahela sasa ningeyafanyia nini,”:
Komba pia alilalamikia jina lake kukatwa katika orodha ya wabunge wengine ambao walikuwa wamerejesha fomu na kudai kuwa hiyo ni hujuma.

“Wana lao jambo haiwezekani jina langu liwemo kwenye orodha ya wabunge waliorejesha fomu halafu lionekane limekatwa,”alisema.
Mbunge huyo aliitaka tume hiyo iwasiliane na viongozi husika moja kwa moja badala ya kupitia kwa spika kwa sababu katika suala la kutangaza mali hawawajibiki kwa spika. Mwenyekiti wa baraza hilo, Jaji Damian Lubuva alisema baada ya kusikiliza utetezi wa viongozi hao watatoa uamuzi na mapendekezo yao kwenye mamlaka zinazohusika.
 
"nimeshindwa kujaza fomu zakutangaza mali zangu kwasababu ya msongo wa mawazo" jamani huyu Aluatani hapa kaniboa siasa imemlewesha au ndo woga umemuingia baada ya kuwekwa kizuizini? Au anaumwa Zittophibiasis? Maana nae alianza hivihivi.
 
nilijua tu lazima m post haya haraka haraka! Lakini bora adhabu ya kuchelewa kujaza fomu kuliko kukosea kujaza tena kukosea awe Mbowe! Hadi mgambo watasimama!
 
"nimeshindwa kujaza fomu zakutangaza mali zangu kwasababu ya msongo wa mawazo" jamani huyu Aluatani hapa kaniboa siasa imemlewesha au ndo woga umemuingia baada ya kuwekwa kizuizini? Au anaumwa Zittophibiasis? Maana nae alianza hivihivi.
Kamanda kazi tuliyomtuma anaifanya vizuri sana hadi hampati usingizi.semeni yoooote lakini chini ya uongozi wake watu wanavuana magamba,mmepoteza majimbo kibao n.k hayo mnayoshadadia si tuliyomtuma bali kuwatoa magamba madarakani na kwasasa kuisimamia serikali ful stop.hv kumbe nyoka anatumiaga muda mrefu sana kujivua gamba! Sikujua bwana!
 
Back
Top Bottom