R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Habari za ndani ; Wazee na BAVICHA wa jimbo la IRAMBA MASHARIKI ; wamenyimwa kibali cha Kwenda kumuona Mbunge wao mpendwa Tundu lissu kutoka Makao makuu ya CHADEMA;
Kibali cha kumuona Tundu lissu kinatolewa na Mheshimiwa Mbowe - Baada ya kuomba ruhusa inasemekana wamenyimwa kuwa taarifa wawe wanauliza makao makuu ya Chama juu ya afya ya Mbunge wao.
Hii imetokana na maswali wanayojiuliza wapiga kura na taarifa tofauti anazotoa Mheshimiwa Nyarandu kuwa Afya ya Lissu bado inabidi apelekwe Marekani;
Wananchi wanataka kumpa Sic leave ili wampumzishe na mawazo ya jimbo ili atibu majeraha.
Ushauri wana IRAMBA ndo waliomchagua mheshimiwa haki yao izingatiwe'' wanahako ya kupata taarifa kama upinzani wanachopigania nchi hii uhuru wa kupata taarifa . wakianza kuunyima wanawapatia wasiwasi; Je Maalim seifu, Zitto, Mtatiro , Nyarandu wan thamani zaidi ya wananchi na wazee wa IRAMBA.
Ukiona Moshi ujue moto utawaka