Mbowe acha kuzuia wazee wa Iramba na BAVICHA kumtembelea Lissu

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Habari za ndani ; Wazee na BAVICHA wa jimbo la IRAMBA MASHARIKI ; wamenyimwa kibali cha Kwenda kumuona Mbunge wao mpendwa Tundu lissu kutoka Makao makuu ya CHADEMA;
Kibali cha kumuona Tundu lissu kinatolewa na Mheshimiwa Mbowe - Baada ya kuomba ruhusa inasemekana wamenyimwa kuwa taarifa wawe wanauliza makao makuu ya Chama juu ya afya ya Mbunge wao.

Hii imetokana na maswali wanayojiuliza wapiga kura na taarifa tofauti anazotoa Mheshimiwa Nyarandu kuwa Afya ya Lissu bado inabidi apelekwe Marekani;
Wananchi wanataka kumpa Sic leave ili wampumzishe na mawazo ya jimbo ili atibu majeraha.

Ushauri wana IRAMBA ndo waliomchagua mheshimiwa haki yao izingatiwe'' wanahako ya kupata taarifa kama upinzani wanachopigania nchi hii uhuru wa kupata taarifa . wakianza kuunyima wanawapatia wasiwasi; Je Maalim seifu, Zitto, Mtatiro , Nyarandu wan thamani zaidi ya wananchi na wazee wa IRAMBA.
Ukiona Moshi ujue moto utawaka
 
Haa wamewasikia ila wanahofia usalama wake pia
 
Mnampaka matope Mwigulu Nchemba
 
Mjadala wa lissu umeishafungwa mwacheni apumzike mh mbowe siku za karibuni akiri zimeanza kumrudi ongera sana kwa maamuzi mazuri,hao mabwana wasikanyage hapo hospitali wakikaidi ita red briged wawashughurikie haswa
 
Tatizo ni kwamba hadi sasa haijajulikana mbaya wa Lissu ni nani na kama je,muuaji amesharidhia Tundu Lissu kuendelea kuwa hai au bado anatafuta kila upenyo kumfikia ili ammalizie?
 
Iramba mashariki ipi waliomchagua Lissu. Lissu sio wa Iramba na wanyiramba hawajamchagua bhana...Iramba kuna wabunge wengine waliochaguliwa na wanyiramba.
 
Watu wengine sura zao mbaya kiasi kwamba mgonjwa akimuona tu lazima azidiwe.Huo ulikuwa utani tu.Sasa njoo ktk point,chukulia wewe ni mwanafunzi ambaye unasoma shule yenye wanafunzi elufu mbili,halafu ikatokea mwalimu wenu amelazwa,je, wanafunzi wote mtaruhusiwa kumuona mgojwa?
 
Nina uhakika ukipewa ramani ya Tanzania uonyeshe Singida ilipo utapoint bahari ya Hindi.

Ni mbunge maarufu, habari zake kila leo zinaandikwa for the past 7 years.

Bado hujui atoka jimbo gani. Si ungeuliza comrade?

Na bado unataka tuiamin na kuijadili habari yako?. Jipange ndg.
 
Habari za ndani ; Wazee na BAVICHA wa jimbo la IRAMBA MASHARIKI ; wamenyimwa kibali cha Kwenda kumuona Mbunge wao mpendwa Tundu lissu kutoka Makao makuu ya CHADEMA;
Kibali cha kumuona Tundu lissu kinatolewa na Mheshimiwa Mbowe - Baada ya kuomba ruhusa inasemekana wamenyimwa kuwa taarifa wawe wanauliza makao makuu ya Chama juu ya afya ya Mbunge wao.

Hii imetokana na maswali wanayojiuliza wapiga kura na taarifa tofauti anazotoa Mheshimiwa Nyarandu kuwa Afya ya Lissu bado inabidi apelekwe Marekani;
Wananchi wanataka kumpa Sic leave ili wampumzishe na mawazo ya jimbo ili atibu majeraha.

Ushauri wana IRAMBA ndo waliomchagua mheshimiwa haki yao izingatiwe'' wanahako ya kupata taarifa kama upinzani wanachopigania nchi hii uhuru wa kupata taarifa . wakianza kuunyima wanawapatia wasiwasi; Je Maalim seifu, Zitto, Mtatiro , Nyarandu wan thamani zaidi ya wananchi na wazee wa IRAMBA.
Ukiona Moshi ujue moto utawaka
Iramba hakuna wapiga kura wa Lisu, Iramba wabunge wao ni Kingu na Mwugulu.
Vv
 
Back
Top Bottom