Mwenye akili ndogo hapa ni Professa uchwara Muhongo anayedhani Watanzania hawana uwezo wa kuinvest kwenye gas na wabakie kwenye biashara ya juice ya ukwaju.
Unauwakika Ndugu yangu au unaropoka tu?
nikutajie mashirika makubwa kwenye kila nchi duniani na uniambie yanamilikiwa na nani?
nashukuru umeelewa umuhm wa investmnt. mbowe hajaelewa
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh. Mbowe amepinga uwekezaji kwamba unaongeza gharama za maisha kwa wananchi.
Chanzo: ITV
MY TAKE:
Duniani kote wanabinafsisha viwanda,mashirika na serikali kujitoa kuendesha kila kitu.
Mh. Mbowe kuwa mpinzani haimaanishi ni kupinga kila kitu.
Binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishaji.
nashukuru umeelewa umuhm wa investmnt. mbowe hajaelewa
Kwani tangu lini mbowe amekuwa na hoja za maana make yeye mda wote anawaza mandamano tu.
Ndio maana nimekwambia unahitaji kuelimishwa. Ni mpumbavu tu anayeambiwa ukweli na kuwaita wanaomwambia ukweli kuwa wana uelewa mdogo. Kasome mabuku. Kampuni nyingi za Kichina zinazofanya biashara Afrika na kutoa misaada zinamilikiwa na serikali.mkuu uelewa wako ni mdogo sn no wonder akili vs akili kubwa
Kwani tangu lini mbowe amekuwa na hoja za maana make yeye mda wote anawaza mandamano tu.
R.I.P chacha wangwe.Mbona unajikanyaga kanyaga kama mwanamke anayetongozwa oh mara uwekezaji unakubalika dunia nziama oh sheria zetu zinaitaji marekebisho.Kama unaona sheria zinaitaji marekebisho unachopingana na mbowe ni nini au umeshazoe mambo ya uchochoro kama kawaida yenu.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh. Mbowe amepinga uwekezaji kwamba unaongeza gharama za maisha kwa wananchi.
Chanzo: ITV
MY TAKE:
Duniani kote wanabinafsisha viwanda,mashirika na serikali kujitoa kuendesha kila kitu.
Mh. Mbowe kuwa mpinzani haimaanishi ni kupinga kila kitu.
Binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishaji.
Wewe funza kweli. Na hilo si tusi!R.I.P chacha wangwe.
Kichuguu,Nadhani wewe unaishi dunia ya kumi iwapo hujui kuwa nchi zinaoendelea kwa kasi kama China hazijauza viwanda vya umma ila zimeruhusu biashara za binafsi; ubinafsishaji unaotakiwa siyo huo unaofanyika Tanzania. Hata Marekani ambapo ndipo baba la ubepari, serikali ilichukua viwanda kadhaa vya magari na kuviendesha wakati utendaji wake ulipokuwa haukidhi malengo ya nchi. Tanzania tunapojiingiza kichwa kichwa kama kama wewe unavyoamini ndiyo maana tunabaki na kama tulivyo pamoja na raslimali zote tulizo nazo. Huko China rare earth metals zinamilikiwa na serikali ya China na hakuna kampuni ya nje wala ya binafsi kugusa.
Nadhani nakubaliana na Mbowe kwa upande fulani kuhusu hili la ubainafsishaji. Usidhani kuwa dunia hii kuna mjomba wako kutoka nje ya nachi atakuja akuendeleze; wawezekazji wote wanakuja kuchuma na hasa iwapo uwekezaji wenyewe ndio huo kuwa haawalipi kodi, ni ruksa kuleta wafanyakazi wao kutoka kwao hata madereva.
Wanasiasa uchwara ni sheeeeda wanajali tu cheap politics bila kujali impact yake. Marehemu Sata alianza kuzuia maandamano na kubugudhi wapinzani wakati alitokea upinzani ndio kama hawa chadema.
mbowe isingekua ubabe is not a leader
Kwani tangu lini mbowe amekuwa na hoja za maana make yeye mda wote anawaza mandamano tu.