Mbowe acha kupotosha umma

Mbowe acha kupotosha umma

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh. Mbowe amepinga uwekezaji kwamba unaongeza gharama za maisha kwa wananchi.

Chanzo: ITV

MY TAKE:
Duniani kote wanabinafsisha viwanda,mashirika na serikali kujitoa kuendesha kila kitu.

Mh. Mbowe kuwa mpinzani haimaanishi ni kupinga kila kitu.

Binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishaji.


Unauwakika Ndugu yangu au unaropoka tu?
nikutajie mashirika makubwa kwenye kila nchi duniani na uniambie yanamilikiwa na nani?
 
Ndo maana kuna kusoma na kuelimika mâle a référence tout SAP policy ndo uelewe Mbowe alimanisha Nino mkuu sio kupinga tu.

kapate kwanza communication skills ndo uje apa
 
mleta mada hana uelewa wowote kuhusu ubinafsishaji ndo maana kaishia kuandia vimistari viwili tu.kwanza nikuulize maana ya "MY TAKE"
 
One of the reason why John Major and his party lost power to Tony Blair it was the idea of privatization . Toa mfano mmoja wa Nchi za Ulaya au USA na wazo lako la ubinafsishahji . Tunazunguka huko hakuna upuuzi wa aina hii. Bro wewe uko ACT au CCM maana huekeweki .

am a patriotic citizen
 
Assydria3,
Wewe ndiye unayehitaji kuelimishwa. Si kweli kwamba duniani kote viwanda vinabinafsishwa na hakuna mashirika ya kiserikali. Mfano mmoja tu ni China ambako kampuni zote zinazotoa mikopo ya ujenzi wa bandari ya Morogoro na gesi inamilikiwa na serikali. Air France ni mali ya serikali. Ethiopia Airlines ni mali ya serikali. Kuna wakati Marekani ilijaribu kubinafsisha reli, na katika vita vikuu vya pili duniani wakaona madhara ya kubinafsisha reli wakairudisha chini ya mamlaka ya serikali. Jielimishe kwanza kabla ya kumkosoa Mbowe.

mkuu uelewa wako ni mdogo sn no wonder akili vs akili kubwa
 
hivi hili likoje? eti duniani kote serikali zinabinafisisha viwanda, mashirika nk. huna akili hata kidogo na nimekudharau sana wewe assad.

TANESCO Imebinafsishwa?

TRL Imebinafsishwa?

kiwanda cha NYUMBU kimebinafsishwa?

CHINA POLY Technology imebinafsishwa?

acha ujinga kama hujui kitu.
 
Mwenye akili ndogo hapa ni Professa uchwara Muhongo anayedhani Watanzania hawana uwezo wa kuinvest kwenye gas na wabakie kwenye biashara ya juice ya ukwaju.

akili ndogo vs akili kubwa
 
hivi hili likoje? Eti duniani kote serikali zinabinafisisha viwanda, mashirika nk. Huna akili hata kidogo na nimekudharau sana wewe assad.

Tanesco imebinafsishwa?

Trl imebinafsishwa?

Kiwanda cha nyumbu kimebinafsishwa?

China poly technology imebinafsishwa?

Acha ujinga kama hujui kitu.

trl imebinafsishwa si chini ya moja
tanesco inagawanywa sehem tatu wazalishaji wasafirishaji na distributors. Fahamu bila uwekezaji ni balaa tazama c mkuu ht ww usiejielewa unacommunicate
 
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mh. Mbowe amepinga uwekezaji kwamba unaongeza gharama za maisha kwa wananchi.

Chanzo: ITV

MY TAKE:
Duniani kote wanabinafsisha viwanda,mashirika na serikali kujitoa kuendesha kila kitu.

Mh. Mbowe kuwa mpinzani haimaanishi ni kupinga kila kitu.

Binafsi naona si kupinga ubinafsishaji bali kuboresha sheria zetu za ubinafsishaji.
yuko sawa..unabinafsisha hadi majeshi kwa uroho wa rushwa ndio nini sasa. jeshi la polisi si kila askari anatengeneza hela bila kuwekeza kitu!..juu yake anapewa mshahara kila mwezi!
 
Back
Top Bottom